Woman burning desire

Woman burning desire

sasa wewe ulifikili ni maigizo au ngonjera unavushwa unapelekwa mafichoni unapewa laha zako mpaka unamtukana mista wako mpaka unafika kilele na hiyo ni tafasili ya kuchepuka na ukirudi nyimbani unamwambia bebi kichwa kinauma si tayali umeshiba
Mweeh basi bana
 
Hili nalo la kuuliza ndugu? Endelea kwenda mliman city kuuza sura na kiheineken cha masaa mawili
Tatizo linakuja pale uhandsome wenyewe ni ule wa kujiaminisha mwenyewe + camera 360 when in reality sura kama Bambo. Unajikuta kila siku unazunguka mlimani city mpaka walinzi wanadhani ni mwenzao napo mfukoni hakuna hela.
Sura hata mbuzi anayo mtoto wa kiume kuanza kuhoji uzuri wa sura mbele ya pesa ni dalili mbaya.
 
Hizo zote ni mazungumzo baada ya habari, ukitaka kumdominate bibie akuheshimu hata kama huna chochote piga show ya kibabe kila ukipewa mbunye! Hii wanaelewa wanawake waliokomaa kiakili tu,Mwanaume ni mwanaume tu and this is above all the factors.

Minor issues (hizi ni kwa wasichana ambao hawajakomaa kiakili, teens):
-Pesa, hii sabuni ya roho hutumika kuficha mapungufu yako mengine!Wanaume wachovu wengi hutumia njia hii!
-Sura nzuri, hii hupumbaza wanawake wenye kuvutiwa nazo na sio wote wanazifagilia sura za kike!
-Gari, hii ni chambo ya kuwakamatia wale wanawake malimbukeni wa maisha,sio wote wanaohadaika na magari!

Ukitaka kumshika vizuri demu, Kaza....kaza...kaza vizuri umkamue zote kila akikupa game! Haendi popote!
 
1470605670019.jpg

Umeniona sasa
 
Tatizo linakuja pale uhandsome wenyewe ni ule wa kujiaminisha mwenyewe + camera 360 when in reality sura kama Bambo. Unajikuta kila siku unazunguka mlimani city mpaka walinzi wanadhani ni mwenzao napo mfukoni hakuna hela.
Sura hata mbuzi anayo mtoto wa kiume kuanza kuhoji uzuri wa sura mbele ya pesa ni dalili mbaya.
Daahh Bambo wa watu!!.
Amekua reference point
 
Back
Top Bottom