KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Kwa sababu zisizoweza kuzuilika bro.Pole tena ya nini? KARANJA 007
Kwa sababu zisizoweza kuzuilika bro.Pole tena ya nini? KARANJA 007
Duh ingekuwa hivi sisi wabaya tusingepata wapenzi, tunashukuru kuna wanawake wengi wana utashi wa kuangalia vingine zaidi ya sura na pesa.Kwakwel mwanaume mbaya hapana. Kwanza wanawake 2nalilia haki sawa kwa wote hlf bado 2nataka mwanaume ndo atoe kila kitu (Gender Inequality). Mie kwa upande wangu mwanamke mbaya big NO; mezani, school fees o rent we'll share
Jifunze jinsi ya kuquote ndo umjibuPole tena ya nini? KARANJA 007
Ha ha ha kweli aiseeDuh ingekuwa hivi sisi wabaya tusingepata wapenzi, tunashukuru kuna wanawake wengi wana utashi wa kuangalia vingine zaidi ya sura na pesa.
asikudanganye mtu wengi hatushobokei pesa ila tunaamini unatafuta utapata ukikaa tu ukijikuna unatoka vumbi maisha yote hakika una hatari sana! mwenye pesa akifanya mabaya utavumilia kidogo ila mnuka vumbi akizingua unasepa kabla jua kuchomoza , likichomoza vitaminD unapatia kwingine! " a cry in a boda boda is not equal to a cry in a Range rover"
Duh ingekuwa hivi sisi wabaya tusingepata wapenzi, tunashukuru kuna wanawake wengi wana utashi wa kuangalia vingine zaidi ya sura na pesa.