Woman burning desire

Woman burning desire

jiwekuu770

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2015
Posts
2,246
Reaction score
1,646
Ivi ni kweli kwamba mwanaume handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa. Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa. Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree.

Wanawake nao siku hizi wanatamani wanaume wazuri tena wanahonga pia kama vile wanaume wanavochanganyikiwa wakiona mwanamke mzuri.Au ni mtazamo wangu tu? Ila hivyo ndio nmekuwa nikishuhudia.
 
Ivi n kweli Kwamba mwanaume Handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa!! ??
Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa!! Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree!!

Wanawake nao Siku iz wanatamani wanaume wazuri tena wanahonga pia!! kama vile wanaume wanavochanganyikiwa wakiona mwanamke mzuri!!
Au ni mtazamo wangu tu?
Ila hivo ndio nmekua nikishuhudia!!.
.
 
asikudanganye mtu wengi hatushobokei pesa ila tunaamini unatafuta utapata ukikaa tu ukijikuna unatoka vumbi maisha yote hakika una hatari sana! mwenye pesa akifanya mabaya utavumilia kidogo ila mnuka vumbi akizingua unasepa kabla jua kuchomoza , likichomoza vitaminD unapatia kwingine! " a cry in a boda boda is not equal to a cry in a Range rover"
 
Ha ha haa
 
Ivi n kweli Kwamba mwanaume Handsome anakubalika zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa!! ??
Mi naona kama sio wote wanaoshoboka na pesa!! Hata kama unapesa utaishia kuliwa pesa zako buree!!

Wanawake nao Siku iz wanatamani wanaume wazuri tena wanahonga pia!! kama vile wanaume wanavochanganyikiwa wakiona mwanamke mzuri!!
Au ni mtazamo wangu tu?
Ila hivo ndio nmekua nikishuhudia!!.
More than three aspects involved
.caring
.love/loving kindness
.cash
.looks
.confidence
.intelligence
 
Kwakwel mwanaume mbaya hapana. Kwanza wanawake 2nalilia haki sawa kwa wote hlf bado 2nataka mwanaume ndo atoe kila kitu (Gender Inequality). Mie kwa upande wangu mwanamke mbaya big NO; mezani, school fees o rent we'll share
 
Hivi wanaume wa Dar mbona mnatuandama hivyo wakati sisi wengine tumeoa wa mikoani.
 
Hili nalo la kuuliza ndugu? Endelea kwenda mliman city kuuza sura na kiheineken cha masaa mawili
 
Back
Top Bottom