unafikiri nyumba ni mavu.z ukikua tu yanaota.
hivi kunijibu kwa lugha nzuri umeshindwa nn? mbona povu linakutoka kama unahasira na wema? kwani wema kuwa na nyumba ajabu nn? acha wivu wa kipuuzi.umenikera sana ila nimekusamehe.
unafikiri nyumba ni mavu.z ukikua tu yanaota.
Mmiliki wa nyumba anayokaa wema ni ya shemeji wa rafiki yangu,tena anakaa jirani kabisaa na hyo nyumba,nashangaa anavyojitangazia nyumba yake,pesa anazo nyingi za kuhongwa sema akili hana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
so alivyokua anahojiwa kwenye takeone akijinad nyumba ni yake kumbe sivyo?du!
Na aliwah kuolewa da dallas mla 0713
le mutuz amewahi kumtoa kule kwenye blog yake akilalamika wadau kumtosa dallas wakati alikua anawatoa mpunga na gambe. Kwani alikua bakhersa?