mzee si unajua habari zinatakiwa zitengenezwe na kuhifadhiwa! Tusipowekeza kwenye utafiti na waandishi kuweka hizo data kwenye mtandao, huduma kama hizi zinakuwa na faida ndogo sana katika kuelimisha dunia hali halisi ya tanzania. Hebu jaribu kuweka kyela uone majibu yake! Nachojaribu kusema technology ni chombo tu, na akili ya binadamu itaendelea kuwa superior kwahiyo tutimize majukumu yetu katika ukusanyaji habari, taarifa, na data ili kuifahamu tanzania na kuifahamisha dunia kuhusu tanzania.