muke ya mtu
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 295
- 186
Habarini wakuu!,
Nilipokuwa safarini leo kutoka Mbeya kuelekea Iringa kwenye basi kuna movie iliwekwa dakika chache kabla sijashuka inaitwa Wolf warrior ilinivutia saaana. Jaman naomba msaada kwa mwenye nayo, au hapa Iringa ntaipata wap?