Wodi ya Sewa Haji- Muhimbili jamani kunatisha

Clinton katoa pesa za kujenga wodi za kina mama, jamaa wamekula mpaka Clinton kasusa. Na hapo Sewa Haji usiku usiombe maana madirisha hayana nyavu au zimeharibika sasa ile mipaka shume ndio huwa inarandaranda na kuiba vyakula. yaani mgionjwa afadhali atibiwe nyumbani tu maana akiwa hapo kuna possibilities kuwa anaweza akapata magonjwa mengine! absolutely pitty!

Sasa nani wakuokoa hili jahazi.
Wapenda sifa tunawasikia makanisani wakikusanya michnago na harambee mbona awaendi muhimbili.?
 
Maskini wa mungu....

we fikili umempereka mkeo akajifungue anapewa kitanda cha kula chini,wala uwezi kupisha kwani wengine umewakuta wamelala chini,? HIVI POSHA SH 200,000/ inatengeneza kitanda cha mgonjwa,serikali hipo tuuu,
 
Hapana tena hapana,Je wagonjwa waandamane kudai huduma bora.?
Je nina anategemea awezi kuuma au kupata ajari na kulazwa popote pale hospital.
Serikali inatambua kweli hili la wagonjwa lala chini tena Muhimbili hospt,
View attachment 43466 hapo watu nakatiza kwenye vitanda vya wagonjwa kwenda kuwajulia ndg zao.
We kuanzia mlango wamelazwa wagonjwa tena mlango mkubwa wa kuingia wodi ya sewa haji,
Huuu ni unyanyasaji na kunyima mgonjwa haki yake.?
Cha kushangaza mgonjwa ataambia alipie kitanda wakati kalala chini.? View attachment 43467

Asante kwa taarifa, inatisha, ndio maana wao wanakimbilia India?
 
Kama Mungu yupo na anayaona haya ya hapa Tanzania, natamani kuja kushuhudia jinsi viongozi wetu watakavyokuwa wakijieleza siku hiyo ya kiama juu ya waliyowatendea watanzania.
 
bilioni 64 zingenunua vitanda vya kutosha na madawa ya kutosha na chenchi ingebakia, mtu analazwa chini bado huduma ni mbovu anaweza maliza wiki hata kidonge hajapewa halafu bado hawa wabunge wetu eti wanajiita wawakilishi wa wananchi wanapewa posho ya kikao sh 200000, kweli haya ndio mafanikio ya uhuru miaka 50!!!!!!!!
 
bado naendelea kutumbua raha zangu uganda kuhusu kina mama kulala chini hainihusu
huduma za afya watajua wenyewe kwani nimewatuma kuumwa????
 
Wanajiongezea posho tu bila maboresho ya muhimu ikifika wakati wa kura....mbio majukwaani kutudanganya .....inasikitisha sanaa sanaa...pesa wanatumia kwa starehe zaoo na safari wangeongeza vitanda jamani
 
Mtu unategemae unapingia wodini kwanza unakutana na mapokezi au maulizo.
Sihivyo pale sewa haji unakuta na wagonjwa wamelala kama magereza.
Wakumuuliza anakwambia nenda chini unaangalia hupande wa kushoto ukikosa rudi upande wa kulia,
Ni hatali wagonjwa wamefanyiwa operationa,wamepata ajari za kila aina wamelala chini.?>
Kweli hhii nchi ni yetu sote au.?
Nilikwenda hiyo wodi Jumapili iliyopita nikabaki nasikitika mwenyewe, hali ni mbaya kuliko unavyoweza kuielezea, wao wanatibiwa India watajari wapi afya za wananchi?

Makaburu pamoja na kuwandamiza sana Wasouth Africa lakini mimi nilipofika pale kwenye Hospital moja inaitwa Baragwanath iko SOWETO nikaambiwa na kwamba kwamba ina vitanda laki moja vya kulaza wagonjwa.
Hakuna tunaloweza kufanya nchi bila kuing'oa CCM madarakani kwanza. kama miaka 50 hakuna la kujivunia basi hata hii miaka 4 ya JK iliyobaki ni bora itumike kuanzisha vuguvugu la kuiondowa CCM kwa hiari au kwa lazima.
 
Mkome kupewa t shirt na kofia. Na pombe za kienyeji. Laleni mpaka kwenye majani tumeikimba tz huku maisha tambarare
 
Ukiskia babako ama mamako anafanya kazi muhimbili unatakiwa kuomba toba kwa mungu kila siku kwa ajili yao
Hiyo wodi mengi alitoa neti 1000 zikafungwa wiki mbili za mwanzo ilipofika mwezi watu wakaanza kuziuza pale nje pharmacy za waah nakwambia ukifanya kazi muhimbili ni laana tupu sasa ukija kwa manesi ndio usiombe
ukienda pale sehawaji kuna nesi anaitw amamamaro muulize pasua kichwa takwambia ....
Niliwakimbiza mwezi wa saaba kabla yakuwatukana sana sana ..nilipeleka bibiyangu ana kisukari mguu unaoza nikaambiwa tumlaze nikabahatika kusafiri siku ya pili yake kwenda nje niliporudi baada ya siku tatu namkuta bibi mGUUNI mwekundu mbu zimemmaliza kabisa nauliza dawa wanasema dk akija ..nikamsubiri alipofika namkuta kama kaakangu nilizoma nae sec..nikamwambia kaa ka bibiangu huyu vipi mbona mguu umebadilka rangi nahisi anaitaji uharaka akafungua faili lake akamwita nesi akamuuliza nani alikuwa anamhudumia huyu bibi mbona tangu juzi ajandikiwa dawa ...kumbe alikuwa sikuhiyo ndio wameanza zamu zao za wodi...loh akanipa namba yake usiku nikawa nae breakpoint akasema bbibi atafia muhimbili unamwona kama unauwezo wa aghkhan mpeeleke ule mguu akuna jinsi wanaukata tatizo pale muhimbili awana cha kujua imeanzia wapi hiyo gangreen kaka ...asbh nikaomba likizo ya msaaa 12 kwa bosi akanipa 24 nikaenda nikwashukuru manesi wakapiga kelele nani kakuruhusu nikwambia aliemleta hapa kaniruhusu ..nikiwa natoka wakaniletea askari nje nikamuuliza we mshenzi una shida gani mnanidai akahimiza arudi nikamtukana matusi yote ...mwisho wakaja ma dk wakaniuliza nikamwambia m ndie nimemleta na ndie namwondoa hapa sasa basi bakini na kadi zangu za bank na hii ya bima ..mkiwa na deni nipigien ntazifwata baada ya wiki ...wakaomba nirudi nae ndani nikawambia narudisha wheelechair sio mtu nikamsms dreva toa mshine nenda aghakhan nikabaki nao .....teehhheteeeh sitosahau mbwa wale nikamfwata nesi mmoja nikamwambia bibi amekaa hapa siku 5 hata dawa mpka nakuta mtu ananijua ndio ananiambia akanijibu kuna wagonjwa wangapi unaowaona gawanya kwa mbili ...mmmh sikumuaga maana wodi ina wagonjwa za idi ya 60 na kweli zamu wako wawili...m nafikri wale wakubwa wa muhimbili wanaona muhimbili ni hospitali ya kuelekea safari ya mbinguni wakiamini wanaoingia pale awastahili kurudi wakiwa hai tena
 
mkome kupewa t shirt na kofia. Na pombe za kienyeji. Laleni mpaka kwenye majani tumeikimba tz huku maisha tambarare

mkuu swala la tshirt na kofia uko sawa kabisa
lakini swala la kubbeba mabox bado sijaliafiki an sitoliafiki kabisa mpaka naenda mbinguni kwene makao ya baba/....nikusaidie tu huu ni ukweli halisi wengi waliokimbia hii nchi leo hii wakija tanzania wakakutana na waliowaaccha wengiwao awatamani kurudi tena na wakirudi wanaenda miwezi miwili ama mitatu wanarudi jumla ..kivipi sio kwamba tanzania kuna neema nimepata bahati ya kusoma nje ukweli ni kwamba maisha ya huko ni siri yenu na mungu wenu alie hai laiti wazazi wangejua maisha mnayoishi kiuhalisia achana na za kumtumia simu ya kamera sijui na vipochi la hasha ni aibu hilo niweke wazi mwenye mpango wa kutoka tanzania.........


Ninao ushahidi mwingi tu vijana wengi nawaona waliotoka nje waliishia kurudi na vyupi na kama wamezeeka basi wanawake pete za ndoa kabisa kwenye begi wakifkka wanaomba shangazi awatafutie fasta watoe nuksi....maisha nilionayo sio najidai namshukuru mungu na naamini ningekuwa ama ningeitikia wito wa kujilipua leohii nisingebadilisha gari leo hii nisingeamua wikiend mkewangu tukalale shamba...tunarudi na mananasi na mahindi tele tele...sikwambii uibe uje kuwekeza tanzania la hasha usemi wako bado siuafiki

usiogope haya matatzio ya muhimbili yapo na uliyaacha na pengine kuna ndugu yako alifia hiyo wodi sema kutokana na kubadilka kimaisha leo ukukbuki hata kama kuna muhimbili

mwisho nakutakia maisha mema naomba mungu alie hai akusaidie hata kama uliiflash passport yako basi kile choo ulichotupia passport ikagande sehemu kukusubiri waizibue urudi kuwekeza tanzania

asikwasmbie mtu mpwa

taaaaaaanzaniaaaaaaaaa tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaa nakupenda kwa moyowoteeeeeeeeeeeeeeeeeeee nchi yangu tanzania jina lako ni tamu sana sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jina lako twakupenda weweweeeeeeeeeweweeeeeee mafisadi nao humo humooooooooooooooo tanzaniaaaaaaaaaaa tanzaniaaaaaaaaaaaaaaa tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sitohama milelem yoteeeeeeeeeeeeeee
 
Je wabungea cdm meliona hili n saini za lakimbili mnaendelea nazo????????
 
Piddy matusi na wewe uko tanzania ngoja bajaji ikuvunje au uingie mtaroni ambia sirikali yako ijenge wodi. Nasikia mmefukuza na madakta mtatibiwa na nani? Punguza jazba na huko aga khan mguu ulikatwa bila ubishi na ukalipia zaidi ya milioni
 
Tafadhali tuwekee picha kubwa tuone vizuri maana wengine hatuikumbuki vizuri hiyo wodi.
 
Back
Top Bottom