Wizkid ametangaza remix ya wimbo wake wa Essence

barcelonista

Senior Member
Apr 26, 2021
158
146
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Essence mpaka kuingia kwenye Charts za Billboard, #WIZKID ametangaza remix ya wimbo huo akiwa amemshirikisha #justinBieber.
-
-
#BIEBER Ameonekana Kufurahi Zaidi Kuwepo Kwenye Kazi Hii Ya #WIZKID Ambapo Kupitia IG Yake Amepost Na Kuandika........"Thank u for letting me jump on the song of the summer. Essence remix out tonight'' Akiwa Anamshukuru #WIZKID Kwa Kumpa Nafasi Ya Kuwa Kwenye Remix Hiyo.

Huyu Wizkid sio muongeaji sana Lakini ni hatari zaidi...Kwa Afrika kwangu namuona bado no1. Unasemaje mdau?

#,forgive me

FB_IMG_1628933913682.jpg
 
Wiz Kid anajua aisee.. Instagram yake ndio inayonifurahisha. Ina followers karibia sawa na Diamond Platnumz, ila ina post 131 tu hadi leo hii, sijui uwa anafuta nyingine au.

IMG_20210814_152631.jpg


Ndugu yetu kila siku yeye post 10..

IMG_20210814_152529.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom