Wizkid aachia ngoma mpya aliyomshirikisha H.E.R kutoka Marekani

May 16, 2020
88
95
Wangapi wamesikiliza ujio mpya wa Wizkid StarBoy. Ameachia ngoma yake mpya akimshirikisha mwana dada H.E R kutokea Marekani.

Wizkid ft H.E.R Smile. Ngoma hii inapatikana kwenye Album ya Wizkid iitwayo MADE IN LAGOS ambayo itaachiwa hivi karibuni

Amerudi vizuri au ya kawaida tu??
 
Hiyo ngoma mbona haijaiweka picha yake hapa ili tuone hata ilivyo wambwa ngozi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom