lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 455
Habari wakuu!
Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.
Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia anatuletea siasa nyingi halafu anataka kwanza nimpe PIN yangu ya simu ili aweze kunipigia tukitaka kuonana kwenda kumfata huyo aliyemuuzia.
IMEI ya simu ninaijua na Namba yangu hajaitoa kwenye simu mpaka sasa.
Nimeenda Kituo cha Polisi amenishauri tu niiblock laini basi ila simu niisahau.
Naomba ushauri wenu nini cha kufanya. Maana simu nimenunua Bei kidogo.
Hebu nifundishe hii kitu mkuuNdiyo maana huwa napenda kui-hack simu yangu. Nilishajutia
Ili ikipotea au nikiibiwa nimpate aliye ichukua.
Tatizo watu huwaza ku hack simu za wapenzi wao tu.
Mkuu nishaenda tayari wamenambia niiblock namba tu ndo ushauri waoWahi police
SONYSimu aina gani?
Ok.SONY
Nikweli kabisa kwakua laini yako bd ipo hewan uwezekano upo kabisa hata hukuTena kama hivo mnavowasiliana ndo ilikua rahisi kweli kumpata kwa kutumia wataalamu, bila hata kumwambia mkutane wapi.
NmekuelewaNdiyo maana huwa napenda kui-hack simu yangu. Nilishajutia
Ili ikipotea au nikiibiwa nimpate aliye ichukua.
Tatizo watu huwaza ku hack simu za wapenzi wao tu.
Tafadhali 2elezee inavyofanya kaz mkuu naje ni App yakununu au free nakama niyakununua unalipa kwamtindo ganiMUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.
Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote
IpojeMUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.
Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote
Mkuu hao wezi wa simu wote wateja wao wakubwa mafundi simu,nao wakiipata tu wanaiflush sasa hiyo mobile tracker itasaidiaje hapo?MUAWAGE MNATUMIA MOBILE TRACKER.
Mtu akiiba simu yako very easy kumkamata mpk picha yake unaweza kuipata bila shida yoyote