Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,153
Pengine watanzania tumekuwa wajinga wa kusikia na kukaa kimya
lakini wachngaji nao na mashehe wamekuwa wakiendekeza hizi shida na sasa
waumini wameamua kusali na kumwomba mungu ...kuna madhara kadhaa ya wizi yanaendelea serikalini
watu wamekaa kimya ...wapi wezi wa epa..wapi wezi wa ec.....sasa wizi wa kimacho macho wa kutangaza
kuleta katiba mpya na kutumia mabilioni ya pesa za wananchi na zingine zikipita mgongo wa nyuma
nasema hiviiiiiii mungu alie hai wanamaombi msikae kimya hivi mungu ataadhibu watoto wenu na sasa
tunamwomba mungu wa mbinguni
kulaani na kuadhibu wote waliohusika kuunda bunge la katiba wakijua akuna kitakachofanyika ...napenda kuwambia wazi watanzania kama umekuwa ukimsikiliza warioba na wenzake na ule uhuni na usaniii uliokuwa ukifanyika bungeni utajua mambo mawili ya kishenzi
1...hii rasimu aikupelekwa moja kwa moja bungeni ilipitishwa sehemu watu wakaisoma na kuihakikiiki
2..wakati wakijua swala hili linaitaji umoja wa wabunge watu wakaunda kabunge chao na kuanza kuuwaweka watu kwenye list zao ili waweze kuchota pesa za watanzania
3..bunge limechafuka na ukawa wamekimbia zaidi ya mwezi na kama kulikuwa na uwezekano wa kutoendelea kwa nini wameendela na upumbavu kule bungeni wakijitahd kusainishana pesa za walipa kodi??kama mlijua mtapata katiba baada ya 2016 watu walipekwa kufanya ninii kule bungeni
mangapi yametokea kuainisha akuna uwezekano wa kuwepo katiba mpya bila ukawa
wanasheria wangapi wameweka wazi jamanii eeh bila uwiano kadhaa akuna katiba mpya wiiiziii tu usio natija
4..nasema hivi mungu wetu atowaacha kamwe wote waliohusika na utapeli huu wa mabillioni ya fedha za watanzania na mungu akituweka hai mtaona jambo kabla ya 2015
kila la kheri