Wizi wa pesa kupitia namba 0746008589

Wizi wa pesa kupitia namba 0746008589

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,857
Hii namba imemtumia txt jamaa angu. Jamaa kanionesha, nkamwambia, labda mshikaji kakosea tu. Baada ya muda akanitumia na mie.
Nkajua, huyu mshikajianataka kuiba.
Vyuma vimekaza, ko' watu wanajaribu kutafita gris kwa nguvu
Screenshot_20180505-130130.jpg
 
Hii namba imemtumia txt jamaa angu. Jamaa kanionesha, nkamwambia, labda mshikaji kakosea tu. Baada ya muda akanitumia na mie.
Nkajua, huyu mshikajianataka kuiba.
Vyuma vimekaza, ko' watu wanajaribu kutafita gris kwa nguvuView attachment 766520
Hahaha Hili Fala Halijui Kuiba!Mpaka Mie Limenitumia!Maaaniner Zao Mitandao Inayotoa Namba Zetu Kwa matapeli
 
Itakuwa hao jamaa wanakula sana pesa za wasioelewa hasa kama kweli una deni na mtu.
 
Sio hyo tu kuna mwingne ajifanya mganga wa kienyeji atakutajia majina ya wamiliki wa mabasi na mafanikio waliyopata kupitia yeye,hlf utasikia mjukuu njoo nawe upate dawa hawa matapeli in wengi cku hzi tuwe makini nao.
 
Hata mie nimetumiwa sms hii, nikamuuliza wewe ni nani, hajajibu mpaka sasa
 
0743670611-Hyu anajiita Elikana anajidai anatoa mikopo halafu anakwambia utoe kwanza hela ya akiba halafu ndo upate mkopo jamaa yangu mmoja ameenda kushtaki Mbezi Luis polisi na ana RB jaman kuweni makin na hawa matapeli
 
me kila siku natumiwa msg nafasi za jeshi zimetoka

au

tuma ktk namba hii.....kuna namba ya tigo wanaituma ili niwatumie pesa
 
Hahaha Hili Fala Halijui Kuiba!Mpaka Mie Limenitumia!Maaaniner Zao Mitandao Inayotoa Namba Zetu Kwa matapeli

Wanabahatisha, na ninakuwambia kuna watu wanawapata, imagine upo unamtumia hela mtu punde unapata hiyo text, si utatuma kwake?
 
Wakati mwingine wanakutumia hii msg usiku mnene, ukiwa na wenge la usingizi unaweza kutuma hela ati ukifikiri ni yule anayekudai
 
KIJANA WANGU, NILIKWAMBIA KUWA NDAGU NINAYO TOWA SIO YA KUUA NA NI YENYE MFANIKIO MAKUBWAb HUKUTAKA KUNIAMINI HAPO MWANZO, LAKINI KWA SASA UMEJIONEA;MAGARI, MAJUMBA,MADUKA UMEPATA,NASHUKURU KWA ZAWADI ZAKO NA YULE MWENZAKO WA ZANZIBARI, AMENIAGIZIA ZA WADI YA MASHINE YA KUSAGA NASHUKURU KWA FADHIRA ZENU ILA YULE KIJANA MWINGINE MFUPI HAJAJA KUSHUKURU.USIWE UNANILETEA WATU WASIO KUMBUKA WALIKO PATIYA.UJE UCHUKUWE DAWA YA MVUTO NA YA KUTULIZA PESA.0753359431 (MWINGINE hyo na namba yake)
 
Majasiri wa kupost lkn makunguru kwa kupokea cm, huwa hawapokeagi wala kujibu sms, ni nadra sana
 
  • Thanks
Reactions: flv
wanakuambia "ILE PESA TUMA KWENYE NAMBA HII FANYA HARAKA
 
ILE ELA ITUME KWENY HI! 0764 970 796 MAANA SIM YANGU INASUMBUA SANA HAPA NILIPO FANYA HARAKA.
 
Back
Top Bottom