Wizi wa mume/mke

Wizi wa mume/mke

tatizo utakuta mtu analalamika kaibiwa na kwenda kumfumania mwenzie....Wakati yeye pia ni mwizi hajafumaniwa tuu....We kama unaudhibitisho mwenzio kachapa nje au au kachapwa ......Km una moyo jasiri tulia, au kama huna basi sepa zako....Mambo ya kujaziana watu mitaani sio issue




Huo ni upuuzi hakuna kuibia mke au mme, kama ni hivyo angeripoti kubakwa. Hii ni starehe wamepeana kwa kuridhiana, ukiweza deal na huyo mtu wako maana it takes two to tango. Ubebe mastress kwa mtu mwingine na unae wa kudeal nae, ukishafika kiwango hicho....dont push too much ni bora kusepa zako.

Huu ni ujinga ulioje
 
hahahaaa mkuu umeona hiyo clip..... ni shida
nmeichek na team za kiboya zishaanza chokochoko....
IMG-20141117-WA0018.jpg

IMG-20141117-WA0017.jpg
 
baadhi yenu pia viboga mnaliwa kama inavyoliwa mbunye
kwahiyo mlivoona wanawake wanaliwa na nyie baadhi yenu mkaamua na zenu ziliwe mambo ya ukimwaga mboga nabinua mkeka!!!
 
Back
Top Bottom