Fumanizi: Mume wa Mpemba atembea na mke wa mgoni wake kulipiza

Mimi Melki

Senior Member
Mar 31, 2022
156
256
Kuna jambo ambalo haliko sawa limeibuka mahali fulani ndani ya mkoa fulani
Kuna familia mbili ambazo ni majirani ndani ya nyumba moja yenye vyumba takribani kumi ndani yake, ambayo chumba cha mwisho upande wa kulia ndo nilimo mimi.

Baada ya mume wa binti mmoja shombe wa kipemba mwenye umbo lake namba nane na sauti kali ya violin kusafiri kikazi kwenda Dodoma, ilikuwa ni nafasi ya huyo binti kuchochea mahusiano na mwanaume mwingine jilani ambaye alikuwa na mke na watoto wawili mapacha wa kike wa darasa la sita!

Huyu mwanaume mwenye watoto wake mapacha alianza kuonekana mazingira ya nyumbani mara kwa mara akisingizia kuwa ni mgonjwa hivyo kapumzishwa kazi kwa muda jambo ambalo mkewe pia alikuwa analifahamu.

Mke wake alikuwa na pharmacy yake iliyokuwa umbali kidogo kiasi cha kukodi boda boda kila siku kufika mahali hapo kwenye ofisi yake

Uchakataji
Huyu mwanaume mwenye familia yake alikuwa akizama ndani ya chumba cha mke wa yule jamaa aliyesafiri kikazi nyakati za asubuhi wakati ambapo wanae wamekwenda shule na mkewe akiwa kwenye huduma ya kutengeneza afya za watu! Mwanaume huyu alipata ujasiri sana hata bila ya kuhofia kuwa kuna siku KY Jelly ingehusika kumfunza adabu! Aliingia kwa kunyata huku akigeuza shingo yake kutazama kushoto kisha kulia, kisha kushoto tena kama mtu aliyekuwa na lengo la kuvuka barabara, kisha alilikatiza korido la nyumba ile na kwenda kuishambulia mbususu ya kipemba kama simba mwenye njaa kali! Hamuofie nani! Ingawaje aliyafanya yote yale akijua kuwa hakuna anayemwona! Alisahau kuwa mahali alipo ni uswahilini kwenye Radio mbao na betri tonge la ugali! Zilisikika purukushani za hapa na pale kwa kila aliyekuwa akikatiza karibu na mlango ule!

Afumaniwa
Ilikuwa ni asubuhi tulivu ya alhamisi tulivu wakati simba yule alipokuwa kwenye harakati za kumwagilia shamba, ndipo mwenye shamba alipokuja kwa kushtukiza na kusikilizia mlangoni kitu kilichokuwa kinafanyika! Ndipo alipo panic na ku shout akisema Khadija fungua mlango! Ndipo watu wakajazana mahali pale! Tishio la mlango kuvunjaa lilisababisha mlango ufunguliwe! Mwanaume wa watu alitolewa ndani akiwa amelowa jasho isiyo ya kawaida kisha kushikiliwa na wananchi wenye hasira kali! Huyu dada wa kipemba alitoka na khanga yake huku neno pekee alilokuwa akitamka ni nisamehe mume wangu huku likisindikizwa na mirudhi pamoja na kamera za simu janja za usaahilini za Tecno na baadhi ya iphone za akina dada waliojifunga vijora na madera!
Muda si mrefu, pikipiki iliyombeba mke wa mchakataji ilifika mahali pa tukio! Huyo mwanamke mwenye macho yake ya huruma na kifua kinachoeleweka aliamua kuangusha kilio pale ambacho nikisema ntamaliza kurasa zote za jF wengine wakakosa pa kuandikia matukio mengineyo

Mbususu yachakatwa mbele ya mme wake!
Hatukuelewa elewa ilikuwa vipi! Ila mwanaume alietoka safari alikaa chini kajiinamia huku chozi la kujirahumu kuoa mwanamke mzuri likimdondoka taratiiibu! Yule mwanamke mwenye pharmacy yake alikuja na hasira zake kisha kumshika mkono yule mtoka safari na kumwambia, sasa mimi nifanyeje na wakati kashaniumiza hivi
Alimshika mkono na kumvuta kuelekea ndani! Watu walishangilia ilhali mme mtu alikuwa analahumu "kwa nini unamifanyia hivi? Kisasi gani hicho mke wangu" huko ndani zilisikika tu kelele za makusudi! Kiukweli ndugu msomaji ungelikuwa mahali pale ndo ungejua ni vipi wanawake wana visasi vya ajabu! Make sio kwa ukelele ule! Ilhali hajui kuna kesho atawatazama vipi majirani zake! Kelele zile zilimwingia vizuri mfumaniwa yule kwenye masikio yake yote mawili huku mafua mepesi yakimtiririka bila huruma!

Sema tu ni kwa vile alinusurika kipigo na KY Jelly!
Mkewe alimbebea msaraba, japo mtamuona ni mbaya!

Funzo:
Tuishi na wanandoa wa watu kwa akili!

Shukhrani!!
 
Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
7,116
17,936
Ongeza katangawizi kidogo. Nakasikia kwa mbali...

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
28,960
57,065
Yaani uzi wako wa kususa K na huu wote unaendana nakuweka katika kundi moja. Kuanzia leo kila uzi wako nitakua nacomment

'Haka ni kasenge pia'
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,055
7,277
Hiyo inaitwa titi fo tati , piga kisha nikupigie a.k.a ngoma droo
 
pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
8,142
9,118
Tukiwaambia WASIOE wanatuona hatuna akili.
Ngoja YAWAKUTE.

#YNWA
Mwanaume kuogopa kuoa huo ni udhaifu mkubwa kwani hata zamani watu walikosea kuoa na kuolewa mfano mke wa firaun alikuwa mwema na mcha mungu na mke wa lutwi alikuwa mshenzi na mke asiye na maadili kabisa katika jamii kwa hyo unaweza ukawa mwema ukapata mke kisirani na ukawa muhuni ukapata wife material tusiogope kuoa mkuu mwanaume rijali unawaogopa wanawake kuishi nao kweli mkuu sitisha hii movement yako.
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
25,262
21,991
Kuna jambo fulani limetokea mkoa fulani wilaya fulan kwa wanandoa fulani wa dini fulani wenye watoto fulani na fulani kwa nn sijui nn fulani
Halafu anasema mpemba, mpemba gani anaonjesha msimu huu
 
Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
4,100
8,386
Mwanaume kuogopa kuoa huo ni udhaifu mkubwa kwani hata zamani watu walikosea kuoa na kuolewa mfano mke wa firaun alikuwa mwema na mcha mungu na mke wa lutwi alikuwa mshenzi na mke asiye na maadili kabisa katika jamii kwa hyo unaweza ukawa mwema ukapata mke kisirani na ukawa muhuni ukapata wife material tusiogope kuoa mkuu mwanaume rijali unawaogopa wanawake kuishi nao kweli mkuu sitisha hii movement yako.
Kutokutaka kitu haimaniishi unakiogopa.

#YNWA
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom