FAIRATTORNEY
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 219
- 61
Huwa napandwa na hasira nikisikia eti fulani kaiba mume/mke wa fulani. Unakuta kama ni bibie anakusanya shoga zake kadhaa waenda kufumania na kwenda kumtia adabu vilivyo "mwizi" huyo.
Kama ni mwanaume na yeye akusanya mabest zake kadhaa mabaunsa kwenda kumtia adabu mwizi huyo na ikibidi kumfanza yale ambayo kwa asili ya maumbile ni mwanaume pekee anatakiwa amfanze mwanamke.
Hivi jamani jitu zima kabisa linaendesha na familia, linaijua na njia ya chooni, halivalishwi nguo na elimu linayo eti leo hii linaibiwa, amekuwa kuku au roba la pumba kwamba lilikutwa tu somewhere limekaa kihasara hasara likwapuliwa.
Tubadili kauli hizi na tuanze kusema mke/mume wa fulani kafanya uzinzi sio kaibiwa, kaibiwa wapi wakati yeye ndio katongoza au katongozwa hadi kakubali?