Mkuu ubarikiwe sana maana nimenunua hii GX 100 hivi karibuni na ninategemea kwenda safari Mbeya, God bless you kwa hii tahadhari.Naombeni sana ndugu zanguni wenye magari ya cresta gx 100, chaser na mark 11.
Magari hayo yenye engine gx100 yamekuwa yakiibiwa sana hapa jijini na nje ya jiji hasa mikoa ya mpakani kama kule arusha na mbeya.
Kwa tahadhari, funga fifaa vyote vya kudhibiti wezi wa magari, pia usiweke mafuta mengi kwenye tank lako.
Weka mafuta kidogo tu ya kukutosha kutoka nyuimbani na kurudi.
amen,mkuu ubarikiwe sana maana nimenunua hii gx 100 hivi karibuni na ninategemea kwenda safari mbeya, god bless you kwa hii tahadhari.
asante mkuu na pale moshi vipi?amen,
uwe makini sana, huko wizi umekithiri, hasa maeneo ya soweto na mwanjelwa na pale mjini (uhindini)
Wakubwa,
kuweni makini muwapo maofisini kwenu au mnapopaki magari maofisini. Kuna rafiki yangu mmoja yuko Alpha house amenipa taarifa ya kusikitisha kuwa kuna mzungu mmoja pale ameibiwa gari ambalo amelipaki na kuingia ofisini leo asubuhi. Baada ya kutoka nje alikuta kutupu, mpaka sasa haijulikani hilo gari limetoweka kuelekea sehemu gani na nani kalichukua. La kujiuliza, hao jamaa wamepata wapi funguo?
asante mkuu na pale moshi vipi?
Na hiyo Alpha House ni ya nani?
Na hiyo Alpha House ni ya nani?
Kama kawa.......... ni yule yule..........LOOOWAAASAAAAANa hiyo Alpha House ni ya nani?
demandwats so special kwenye hayo magari hadi yaibwe mkuu!
mmiliki wa alpha house ni ya profesa mayo wa coet na siyo elni ya el jr.