Wizi wa mafuta kituo cha OilCom Vetenari

Fernandes Rodri

JF-Expert Member
Apr 11, 2009
520
243
Jamani muwe waangalifu na kituo cha mafuta oilcom vetenari wanaiba mafuta jana nimeibiwa mafuta au muwe munahakikisha bila ya hivyo mutaibiwa
 
"munahakikisha.... " "mutaibiwa...."

Sasa tutajihadhari vipi wakati hujaeleza wanavyoiba? Kujieleza hujui, Kiswahili hujui, una mu accent sijui wa Malawi sijui Rwanda wale wanaotafutwa hawana "green card" za Bongo? aaaaaah!
 
Wewe mwenyewe haujui kiswahili., (una mu accent)nini hiyo?
 
"munahakikisha.... " "mutaibiwa...."

Sasa tutajihadhari vipi wakati hujaeleza wanavyoiba? Kujieleza hujui, Kiswahili hujui, una mu accent sijui wa Malawi sijui Rwanda wale wanaotafutwa hawana "green card" za Bongo? aaaaaah!

Kama wewe unajua sana kujieleza na unajua sana kiswahil nenda chuo kikuu ukawe mhadhiri wa kiswahili. Mijitu mingine hovyoo.
 
Back
Top Bottom