isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,410
Amekuwa mwema mpaka unaogopa , kumbe saa nyingine shetani huwa malaika.Yule mzee alini coach mambo mengi kuhusu nairobi especially Ktk biz, maana kule kulikuwa hakufai.
sahvi anaishi ki halali anakuambia hehehe