Wizi wa mafuta BP/Puma Sinza Kijiweni

Wizi wa mafuta BP/Puma Sinza Kijiweni

.. SANDIA alafu siku hizi ikishafika jioni ukienda sheli na kidumu au pikipiki hawakuwekei wese. ...hiyo sheria sijaelewa
Labda mwenye kujua atueleze.
Maana mm nikiendaga na kidumu wananiwekeaga wese lkn kwa uzushi sana nawambia nimeishiwa wese au nataka weka Ktk generator. .
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kuna mamlaka husika hasa inapotokea tatizo ni sugu kiasi kwamba kila mtu anaonekana kulifahamu na analalamika, badala ya kulalamika na keyboard ni bora kuchukua hatua ya kupeleka malalamiko Weight and Measure Authority, Chama cha kutetea Walaji au EWURA.
 
Hakuna lolote pale mwanamboka watu washalalamika hao sijui vipimo wakienda wana njaa balaaa wanaishiwa kupewa hela wanaenda kula beer na kitimoto nyuma kwa mama jof pale.
 
Hama kituo mkuu. Ikiwezekana hama na kampuni ya kuwekea mafuta. Tafuta kampuni nyingine trustworth.
 
Mm kwa tabata siba hamu na oilcom ya segerea waliniliza machozi mafuta ya elfu ishirini taa bado inawaka gari ikazimika katikati ya daraja kinyerezi saa mbili usiku sina hata senti kwenye mkoba niliona rangi zote siku hyo
 
.. SANDIA alafu siku hizi ikishafika jioni ukienda sheli na kidumu au pikipiki hawakuwekei wese. ...hiyo sheria sijaelewa
Labda mwenye kujua atueleze.
Maana mm nikiendaga na kidumu wananiwekeaga wese lkn kwa uzushi sana nawambia nimeishiwa wese au nataka weka Ktk generator. .

MI HUWA NAWAAMBIA NI ZUNYE LA GENERATOR KAKA. WAKIGOMA NAWAULIZA AU NIKALETE GENeRATOR HAPAHAPA SHELI? NA HIVI MGAO WA UMEME UMESHAMIRI LAZIMA WANIKUBALIE TU!
 
Last edited by a moderator:
Mm kwa tabata siba hamu na oilcom ya segerea waliniliza machozi mafuta ya elfu ishirini taa bado inawaka gari ikazimika katikati ya daraja kinyerezi saa mbili usiku sina hata senti kwenye mkoba niliona rangi zote siku hyo
Mkuu nmecheka hapa lkn hiyo kitu uliyokutana na kufanyiwa Inasikitisha.mm kna wakati ishanikuta nimeweka mafuta Ktk sheli moja mwananyamala oil com nao dah naenda Boko kurudi down ya tegeta wese limeniishia tukasukuna gari mpaka skanska pale tunaweka mafuta ya 5000/ ngoma kilongawima kupaki gari.
ahh kesho yake tulienda sheli pale mwananyamala tulienda kumkaba manager mbna alitufidia mafuta figisufigisu tuliyomletea
 
Kumbe PUMA nao ni wezi, i was trying to compare PUMA and the old BP..naona kama hawaendani kabisa katika service, Zamani Oilcom ndio walikuwa wezi wa mafuta..ila kama PUMA nao wameingia huko then tumebakiwa na TOTAL peke yake kwenye game.
 
MI HUWA NAWAAMBIA NI ZUNYE LA GENERATOR KAKA. WAKIGOMA NAWAULIZA AU NIKALETE GENeRATOR HAPAHAPA SHELI? NA HIVI MGAO WA UMEME UMESHAMIRI LAZIMA WANIKUBALIE TU!
Hahahahahahahaha
 
Kumbe PUMA nao ni wezi, i was trying to compare PUMA and the old BP..naona kama hawaendani kabisa katika service, Zamani Oilcom ndio walikuwa wezi wa mafuta..ila kama PUMA nao wameingia huko then tumebakiwa na TOTAL peke yake kwenye game.

Puma kuna baadhi ya sheli ni wezi, mashine zao syo unaweka mafuta ya 20000 geji haipandi. ...dah
 
Mm kwa tabata siba hamu na oilcom ya segerea waliniliza machozi mafuta ya elfu ishirini taa bado inawaka gari ikazimika katikati ya daraja kinyerezi saa mbili usiku sina hata senti kwenye mkoba niliona rangi zote siku hyo

mafuta ya elfu ishirini ni chini ya lita kumi,nakushauri ukiweka mafuta usihesabu hela,hesabu ni lita ngapi....kuna gari kama umeendesha taa inawaka muda mrefu kiasi hicho hakizimi taa!! Kwani wewe una gari gani?
 
Puma kuna baadhi ya sheli ni wezi, mashine zao syo unaweka mafuta ya 20000 geji haipandi. ...dah

Mkuu geji kupanda inategemea gari yako aina gani na umeendesha muda gani na taa inakuwakia.
 
Hivi hao pump attendant huwa wanalipwaga sh ngapi kwa mwezi maana tusiwe tunawalaumu kumbe mabos wao ndio wanawafanya waibe,mwenye uelewa atuambie afu ndio tujudge kwann wanatuibia
 
Usahihi: Mrangi, huwezi kuwa na baadhi ya Sheli za Puma. Shell ni kampuni kama ilivyo Puma. Au ulitaka kumaanisha vituo vya Puma?
 
Vituo vya puma nlimaanisha chief, mfano kituo cha puma cha upanga kama inaelekea ocean road, kile cha karibu na viva tower, kile cha karibu na mambo club zamani obay
Hivyo vyote Hawaii. Hata cha airport wako vizuri
 
Mkuu geji kupanda inategemea gari yako aina gani na umeendesha muda gani na taa inakuwakia.
Hata ukiendesha kwa mida mfupi ukiweka mafuta hizo vituo geji haipandi.....
 
Hivi hao pump attendant huwa wanalipwaga sh ngapi kwa mwezi maana tusiwe tunawalaumu kumbe mabos wao ndio wanawafanya waibe,mwenye uelewa atuambie afu ndio tujudge kwann wanatuibia
Wafanyakazi hawana kosa, shida ni kwa wamiliki wa vituo wao ndy wanaminyaa pump zile
 
Back
Top Bottom