Wizi wa LATRA Mwanza 15,000 kwa kulaza gari kwa siku ikiwa ni hela ya ulinzi

witzone2

JF-Expert Member
Jan 14, 2022
780
1,636
Kuna wizi mkubwa Sana Kwa LATRA Mwanza. Wakikamata gari yako ikapelekwa yard. Siku ya kuitoa unaambiwa ulipie 15,000 Hela ya ulinzi. Kwa siku gar ikilala ni 15,000 ambayo unaambiwa uilipie keshi. Ukikataa wanakatalia gari.

Nimepiga makao makuu ya LATRA huduma Kwa wateja wakasema hamna kitu kama hicho. Sasa nasubiria . ijumaa nilifata gari ikiwa nimepila fine zote. Nikaambiwa inatakiwa kulpa 210,000 Kwa siku 14. Leo nitaenda kikaeleweke. Hawa jamaa wameamua kuwa majambazi Kila sehemu ya kutuibia
 
Back
Top Bottom