witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 780
- 1,636
LATRA Kuna wizi wa 15,000 kama fine ya ulinzi Kwa siku kwenye yard Yao ya nyamhongoro haukubaliki. Unalipa fine zote unaambiwa ukachukue gari, ukifika Kwa walinzi wanakuambia Hela ya ulinzi Kwa siku ni 15,000. Yaani ukamate gari halafu mwenye gari ndo akalipie Hela ya ulinzi. Huu ni wizi kama wizi mwingine.
Niliwapigia makao makuu wakanambia hakuna kitu kama hicho. Sasa Leo naenda Tena. Ili wanambie Hela hiyo ni ya Nini. Gari imelazwa siku 14 naambiwa nilipe 210,000 eti ya ulinzi.
Mbona polisi huwa wakikamata gari hata ikae mwaka hakuna Cha Hela ya ulinzi. Sasa hivi Kila mtu ameamua kuwa jambazi Kwa kutuibia wananchi. Hii haikubaliki kwangu aisee.