Wizi wa kura bongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa kura bongo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Papa D, Nov 1, 2010.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ASUBUHI YA LEO NIMEANGALIA MATOKEO YA KURA KATIKA TV PALE MANZESE NIKASHTUKA KWAMBA:-

  1. KITUONI WALIJIANDIKISHA WATU 480 LAKINI WAMEPIGA 132.
  2. KITUO KINGINE SIKIKUMBUKI JINA WAMEJIANDIKISHA WATU 510 LAKINI WAMEPIGA KURA WATU 142.
  PICHA NLOPATA:
  Ni Jambo gumu sana kwa nchi inayojinasibu kuwa na amani kupata mwitikio mdogo kiasi hicho tena kwenye Jiji kubwa kama Dar es salaam ambapo ndo Ikulu ya nchi!! Angalau wapiga kura wangefikia nusu!
  Makisio yangu ni kwamba huenda kuna watu wenye nia mbaya na demokrasia waliandikisha majina hewa ili kufanya FRAUD. Is THERE ANY ONE WITH A POSSIBLE REASON WHY SUCH POOR TURN UP?
   
Loading...