Wizi wa kubadilishiwa ATM

Wizi wa kubadilishiwa ATM

Ah wapi. Hakuna kitu hapa. Eti mtu ameshika card yako kwenye ATM unamtazama tu!!
 
Ok maswali mawili;
-ulikuwa hutumiwi ujumbe wa kutoa pesa kwa sms na kwa email?
-Bank nyingi wanakiwango cha juu cha kutoa pesa katika atm kwa wiki, ambacho nyingi ni 2m kwa siku 7, je kadi yako haikuwa na zuio hilo?
-je umeripoti polisi ikiwa ni pamoja na bank kukupa picha za cctv za watuhumiwa? Polisi ni rahisi kuwakamata na kusaidia wengine wasiendelee kuibiwa.
 
Amekariri password yako. Amekubadilishia kadi. Wiki mbili hutumii kadi yenye zaidi ya 8m.

Hela haitoki mpaka utoe kadi,sasa ilikuwaje yeye atoe kadi wakati wewe unapokea hela?

Alipokubadilishia kadi lazima akupe kadi ya same bank, kwa hio ana kadi nyingi.
Daah mkuu umeua hayo maswali hawezi kujibu huyu Drama queen naye mwongo mwongo design tapeli pambaf
 
Kama ni kweli hivyo ndivyo ulivyoibiwa, basi wewe ni mzembe sana sana sana..
 
Unajua siyo kosa lake yaan pale angekuwa amemsogelea mwanamme taa ya hatari ingewaka kichwan kwake,lakin sasa alikuwa demu hii jinsia tuna weakness sana zikiwa karibu has a wale wakwale pengine Jamaa alikuwa anakodolea tako huku demu anachop password
 
Mkuu hela ikitolewa nbc mara nyingi inatuma sms kwenye simu,2. Wewe upo mjini miaka yote unawezaje kutoa hela na mtu yupo nyuma yako kwenye ATM? 3. Kosa lingine ni kumuachia akutolee kadi yako. Be careful hali ni mbaya sasa hivi nchi nzima wenye hela kwenye ATM/Bank Wanahesabika,kwa hiyo lazima ujiridhishe kuwa mazingira ya sehemu ya kutoa hela ni salama .
 
Taratibu ni kwamba unapokuwa kwenye ATM,Mtu akikusogelea Unamuambia karibu! Ukiona kimya...unaita walinzi.
 
Mimi sijawahi kwenda ATM, nachezaga na SIM banking pamoja na kununua vitu online basi!
 
Drama queen

Hapo hukubadilishiwa ATM umebadilishiwa ATM card.

Waombe moderator s wabadilishe bichwa lako la habari.
 
Amekariri password yako. Amekubadilishia kadi. Wiki mbili hutumii kadi yenye zaidi ya 8m.

Hela haitoki mpaka utoe kadi,sasa ilikuwaje yeye atoe kadi wakati wewe unapokea hela?

Alipokubadilishia kadi lazima akupe kadi ya same bank, kwa hio ana kadi nyingi.
Cjui alikaririje mayb aliweka camera.. Au aliangalia kwa mbali cjui.. Coz wkt nafanya muhamala alikua pembeni kabisa...alisogea wkt anataka kunitolea card..
Cjatumia card wik 2 since nlikua na ka akiba kengine apart frm laki 2 nliyotoa tht day.. By the way kazin walinilipia meals na accommodation..
Kadi inatoka kwanza wkt naivuta yy akasogea akijifanya kunisaidia while machine inahesabu hela mm nika concentrate kuchukua hela nilihisi ataniibia hela.
Nahisi dada ni jambazi na ako na kadi nyingi na anabadilisha kwa namna ambayo mtu hufikirii
 
Amekariri password yako. Amekubadilishia kadi. Wiki mbili hutumii kadi yenye zaidi ya 8m.

Hela haitoki mpaka utoe kadi,sasa ilikuwaje yeye atoe kadi wakati wewe unapokea hela?

Alipokubadilishia kadi lazima akupe kadi ya same bank, kwa hio ana kadi nyingi.
Cjui alikaririje mayb aliweka camera.. Au aliangalia kwa mbali cjui.. Coz wkt nafanya muhamala alikua pembeni kabisa...alisogea wkt anataka kunitolea card..
Cjatumia card wik 2 since nlikua na ka akiba kengine apart frm laki 2 nliyotoa tht day.. By the way kazin walinilipia meals na accommodation..
Kadi inatoka kwanza wkt naivuta yy akasogea akijifanya kunisaidia while machine inahesabu hela mm nika concentrate kuchukua hela nilihisi ataniibia hela.
Nahisi dada ni jambazi na ako na kadi nyingi na anabadilisha kwa namna ambayo mtu hufikirii...
 
Kwa wengine wote mlio comment kejeli na mengine
Sikuwa na sababu ya kudanganya although nikiri tu nilikua mzembe kidogo nilimuamini kwa kumuangalia binti alikua mdogo kwa umbo na alionekana very innocent..na pia huyo dada ni mwizi expert anajua anachokifanya rejea bank walisema wameshapata malalamiko ya wizi wa namna hyo with same story ya huyo binti.
 
Wizi huo upo.

Kwa anaebisha a Google "how they steal from ATM'S" utakuta mpaka video zinaonesha unavyofanyika na aina zingine nyingi tu.

Watumiaji wa ATM kuweni makini sana.
 
Back
Top Bottom