Wizi wa kubadilishiwa ATM

Wizi wa kubadilishiwa ATM

.. Yaani ina maana ulikuwa hata hutumiwi ujumbe na hao service provider wako mfano " ATM card yako inayoishiwa na namba **** imetumika kutoa pesa kiasi Fulani, kama huutambui muamala huu piga namba ******** "
Nlikua situmiwi mkuu
 
Note:Siwezi kumpa mtu card yng hta awe nani au eti anisaidie na siwez click my password mpaka mtu asiwepo behind me

~Cmb
 
Ambao hamuamini siwalazimishi kuamini.. Take it o leave it.. Inaweza kumtokea yoyote nimetoa tu km angalizo
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii

You are really a fool!!! Yule mdada was right kwani kampata mtu ambaye hanazo! Sijui mtafundishwa/elimishwa mpaka lini na nanani ili watu kama wewe waamke, then unadhubutu kueleza udhaifu wako hapa. You have learnt from your mistake, never ever repeat this blunder. Had the institution not warned you at least ungekuwa na lame excuse!
 
huo wizi niliusoma kwenye mitandao iliyofichika mwaka jana.
sema tu unaweza kutoa comment isiwafikie watu, pole sana.
 
You are really a fool!!! Yule mdada was right kwani kampata mtu ambaye hanazo! Sijui mtafundishwa/elimishwa mpaka lini na nanani ili watu kama wewe waamke, then unadhubutu kueleza udhaifu wako hapa. You have learnt from your mistake, never ever repeat this blunder. Had the institution not warned you at least ungekuwa na lame excuse!
Thank u... Am a fool
Lakin nimetoa tu ili na wengine wajifunze yasiwakute..
 
Tht ws bfo
Nilishaeleza why Dramaqueen
Saiv mimi ni mama na mke nnaejielewa sana
Samahani sikuwahi kujua kwanini umejiita hivyo.
Lakini kuna haiba na hulka, yawezekana kwa sasa haujakaa kwa haiba ya Drama Queen lakini bado una hulka ya Drama Queen.

Pole kwa kilichotokea natumaini atakamatwa mhusika, ukitia ndani kwenye ATM machines hua kunakua na kamera labda siku moja watakumbuka kumu-alert mlinzi amshike huyo dada.

Pia nashauri iunge akaunti yako na mobile service, pesa ikitolewa utaletewa notification.
 
Hiyo ATM haina walinzi? Na je haina anti-skimming device au PIN protector ili mtu mwingine asione PIN yako? Nadhani kuna uzembe fulani CRDB.
 
Habari nyingine zenye umuhimu kama hizi,muwe mnawasilimulia wenye uwezo wa kujieleza kwa maandishi huko inbox ili waweze kuzifikisha kwa ufasaha.
Maana uandishi pia ni kipaji,uandishi na kuandika ni fani
Ila meseji imefika mkuu....
 
Wapendwa kuweni macho...nilikua pale Total nje ya mcity nikaenda kutoa hela NBC nikakuta machine haitoi hela since ni master card nitaenda atm ya CRDB..mule ndani alikuepo mdada mdogo kwa umbo looks naive..
Nikamuuliza hutoki? Akajibu endelea tu natoa hela nyingi so nitawachelewesha so endelea...akaendelea kuongea hlf dada utoe card taratibu hii Atm ina tabia ya kukwaruza card..nikajibu sawa..
Nimefanya muamala card ilivyotoka huku machine inahesabu hela akasogea akawa anaivuta card yangu.. Madai yake anaitoa taratibu isikwaruzike (kumbe alinibadilishia card na alishakariri password yangu)
Nikatoa hela nikapokea card toka kwake nikaondoka... Nikawaza tu hajatoka coz Atm inatoa elfu 5 5 so note 40 ni laki 2 labda anatoa milioni coz alikua anahesabu pale...sikumjali nikaondoka.
Kesho yake nilisafiri kikazi Dodoma, stayed for 2 wiks hapo cjui km nilibadilishiwa card since siku access Atm...
Basi nimerudi Dar naenda kutoa hela kila nikiweka password Naambiwa nakosea card ikamezwa.. Nikaingia ndani bank kunitolea card iliyomezwa nikawaambia sio hyo wakasema hii pekee ndio imekutwa kuicheck sio yangu.. Nikawatajia acc # kuangalia miamala kibao imeshafanywa wameiba 8m kumbe kila siku walikua wanatoa..
Nikawasimulia incidence ya yule binti wakaniambia yule dada wanamtafuta sana ameshaibia watu wengi kwa style ya kubadilisha card akishakariri password..na hakuna namna watanerefund coz ukiwa ndani ya ATM unatakiwa uwe peke yako nilipaswa nimwambie atoke..
So thts it dears.. Nna maumivu apa mchaga 8m usawa huu Uuuuwii
Wewe ni jinga kabisa ndio maana umebaki kuunganisha maneno ya kiswahili na neno moja tu unalolijua la kiingereza ''so''! Ungekuwa mke wangu ningekuongezea na bakora. Nani alikuambia kwenye ATM unakwenda kufanya urafiki na kufundishwa namna ya kutoa fedha!
 
Asante
 
Thank u... Am a fool
Lakin nimetoa tu ili na wengine wajifunze yasiwakute..
U are not a fool.... kuna watu wakijua kitu basi wasio jua au wanao pata matatizo kwa kujua ila wakaamini wengine huwaona wajinga.... achana nae huyo and thx for sharing.... next tym hakikisha
kama hamna password protector unaweka mkono wako usio utumia na kuficha password yako hata kama hakuna mtu maana saa nyingine wanaweka Kamera ndogo kusoma password
yako.... ur password your money safety. ... itunze
mno mkuu....
 
Kwanza nakupa pole kwa mkasa uliokukuta mleta mada, ila kuna jambo halijakaa sawa ilikuwaje ulimruhusu huyo mwizi akae na wewe kwenye ATM Booth kiasi kwamba anapata access ya kushika kadi yako eti anakusaidia kuitoa! labda utuambie kama na wewe ni mgeni wa kutumia hizo mashine, nafikiri huyo dada mwizi anaangalia na watu wa kuwafanyia huo wizi!
 
Sikuangalia dear nilikua busy tho nlikua na kahela kadogo na pia nlikua nshalipiwa meals na accommodation

Pole, ila ndio maana wanashauri ufunike na mkoo wingine wakati wa kutoa pesa mtu asione namba unazononyeza. Huyo mvizie ukipita kwenye ATMs uwe unaangalia kama bado unamkumbuka sura, ukimuona deal naye, muite mwizi, ita walinzi/polisi etc

Uangalifu muhimu sababu wanakuwaga na wenzao around.
 
Lakini machine nyingi pana mlinzi nje ilikuaje akaruhusu mkaingia wawili angali chumba kina machine moja
 
Kila bank wanatuma sms baada ya kutoa pesa . Wanatuma sms kwenye no yako ya sm uliyoisajiri wakati wa kufungua acount. Hata utumie master card wanatu tuuuu! Anyway pole
 
Back
Top Bottom