Jamiix
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 885
- 548
Kuna hili tatizo naomba wahusika na mamlaka za Serikali zilishuhulikie,mimi natumia mtandao tajwa hapo juu,wana huduma wanazotoa bila idhini ya mtumiaji,huduma kama HALOWIN,BBC etc,wanachokifanya wanakuingiza bila idhini yako,wanaambatanisha/kukutumia jumbe zisizo na maelezo ya kutosha,ama kukuhabarisha gharama gani zita ambatana kama ukifanya/kufata maelezo yao/ya jumbe husika..,
Sasa wizi unakuja hivi,unaweka salio kisha wanakukata moja kwa moja,i.e BBC wanakukata Tsh 20/= kwa kila jumbe watakao kutumia,hapa maana yake ni hivi kama umeweka vocha ya 500/=,utabaki na 480/= na hakuna kifurushi chochote utachoweza kujiunga nacho tena,maana yake 500 yako inakwenda yote kwa labda MB ana SMS ama kuongea ambapo haitazidi dakika 1,vivo hivyo kwenye vifurushi vingine vyote ambapo ofa zao zinataka salio/pesa inayoishia na 00,i.e 500,1000,1500,2500 etc,kwa kila kiasi utachoweka kwa hesabu/bajeti yako itakua imefika ukomo kwa hiyo Tsh 20/= tuu wanayokata na hutaweza kujiunga tena kwa salio pungufu na wao wana ila yote kwa DATA.
Nikajaribu wataarifu wahudumu wao wa kusaidia wateja kupitia namba 100,wanajua hautaki na hukubaliani na makato hayo,wanakuelekeza kutoa HALOWIN wanakuacha uendelee kukatwa BBC,kuwarudia maelezo mapya yakatolewa na kuyatimiza lakini bado makato yanaendelea,kuwarudia tena wanatoa maelezo tofauti na jana yake na kuyashangaa,maelezo mapya kufata zinakuja jumbe zina lugha ya Kihispania na bado wanaendelea kukata.
NB.Ninayo mawasiliano ya sauti na wahudumu wakitoa maelezo tofauti,na jumbe husika kama zitajitajika.