Mdanganywa
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 620
- 343
WAFANYAKAZI WA EXIM WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 27 JELA KWA KOSA LA UTAKATISHAJI NA UHARIBIFU WA NYARAKA
Mkuu, asante kwa taarifa, kabenki haka kalikuwa kamejaa vijitu vijizi kila kona. Ukiachilia hawa waliofungwa kuna wengine kesi yao ilianza July 2015 pale Kisutu. Je, imefikia wapi kama mna taarifa?