Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,874
Inasemekana ni mama yakeInaonekana uyo Doroth Chijanja ana undugu na yule jamaa David Chijanja aliepata ajali pale Usa river kwenye Mak x
Inasemekana ni mama yakeInaonekana uyo Doroth Chijanja ana undugu na yule jamaa David Chijanja aliepata ajali pale Usa river kwenye Mak x
Duuh jamaa inaonekana ndo alikuwa anawahì kuudhulia ktk hukumuInasemekana ni mama yake
Eeeh alikua anawahi hukumu. Mama atashindwa hata kwenda kumzika mwanae.. inauma sanaDuuh jamaa inaonekana ndo alikuwa anawahì kuudhulia ktk hukumu
Hakika inauma sanaEeeh alikua anawahi hukumu. Mama atashindwa hata kwenda kumzika mwanae.. inauma sana
mama yakeInaonekana uyo Doroth Chijanja ana undugu na yule jamaa David Chijanja aliepata ajali pale Usa river kwenye Mak x
Atahitaji kupata huduma ya ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya ya akili.Hakika inauma sana
Maumivu ya hukùmu, ya msìba plus maumivu ya kutambua kuwa hutowezà kuudhulia mazishi
Atahitaji kupata huduma ya ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya ya akili.Hakika inauma sana
Maumivu ya hukùmu, ya msìba plus maumivu ya kutambua kuwa hutowezà kuudhulia mazishi
Tunashangaa kitendo cha kukaa kimya management ya benki ya EXIM tawi la Arusha kutokana na tukio la wananchi/wateja kuibiwa fedha zao na wafanyakazi wa benki hiyo.
Tukio hili limejirudia mara kwa mara pasipo na hatua zozote kuchukuliwa.Je nani atakae simama na kuwasaidia au kuwatetea hawa wateja kwani wamepoteza imani na benki hii na wanataka fedha zao zirudishwe kwenye akaunti zao,lakini cha AJABU ni kwamba hili swala linapigwa tarehe tu toka mwezi3/2013 mpaka mwezi huu wa 10/2013 hakuna lolote la kusaidia.
TUNAOMBA MSAADA KUTOKA KWENU.
Lazima aisee la sivyo anaweza hata akajiua huyo mamaAtahitaji kupata huduma ya ushauri nasaha kutoka kwa wataalamu wa afya ya akili.
Mungu atampa nguvu atayashinda majaribu yoteHakika inauma sana
Maumivu ya hukùmu, ya msìba plus maumivu ya kutambua kuwa hutowezà kuudhulia mazishi
Siyo inasemekana ni mama yske kweli na wakati ajali inatokea alikuwa answshi kwenyInasemekana ni mama yake
Mbaya mno.. makosa ya mama kuiba yamepelekea kifo cha mpendwa wake.. kweli mali ya mtu haiendi bureSiyo inasemekana ni mama yske kweli na wakati ajali inatokea alikuwa answshi kwenyView attachment 624546e hiyo hukumu ya mama yake mahakamani,mama kala mvua 5 na first born kafariki mbaya sana asee
Ila inauma asee alafu alikuwa afunge ndoa soon,kaacha mchumba mzuri kweli aiseeMbaya mno.. makosa ya mama kuiba yamepelekea kifo cha mpendwa wake.. kweli mali ya mtu haiendi bure
Halafu mjamzito yule mchumba. Bora kamuachia mwanamke wake kumbukumbuIla inauma asee alafu alikuwa afunge ndoa soon,kaacha mchumba mzuri kweli aisee
Asee kwa hiyo itabidi jamaa mwingine ajiweke paleHalafu mjamzito yule mchumba. Bora kamuachia mwanamke wake kumbukumbu
EehAsee kwa hiyo itabidi jamaa mwingine ajiweke pale
Ningempata nalea kuanzia hiyo mimba asee demu ni kisu ati yeroo.