Ni kweli kwa wale wanaojua queuing theories, check-in procedures na mambo kama hayo yanayohusiana na sheria za kuishi ni kitu ambacho hakiwezekani lakini kwa uendawazimu ambao Watanzania tumefikia yanawezekana na huenda ikwa ni Tanzania pekee. Kwa jinsi mleta mada alivyoandika inaelekea ni mtu mwelewa na ndio maana naye kashangaa kitu kama hiki kinatokea hadi kufuatailia zaidi na kujua hilo suala la kulipa 300,000/-.Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?
Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.
Usitake kutufanya wote humu wajinga.
mdogo wako alichelewa,next time muwahi maana ndege si daladala.ukishachelewa rules apply,it means km untaka kwenda na ndege ya saa hiyohiyo inabidi ulipe express ticket na ndo hapo badala ya 32000 unalipa 300000.for the same trip.
Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?
Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.
Usitake kutufanya wote humu wajinga.
Ndugu yangu usibishe kama haujui kitu,hao fastjet ni watu wa ajabu sana!watu wanashindwa kucheck in wakiwa kwenye msitari.
Tatizo hapa hiyo system yao inajifunga automatic na ipo Nairobi,na wanakuambia kuwa hawana uwezo nayo,kibaya zaidi watumishi wake nao hawana nidhamu ya kazi hata kidogo,kusafiri na hawa jamaa ni kero ila hatuna jinsi,kibegi kidogo tu unakilipia!na ukishangaa nacho wakati unalipa system ikajifunga inakula kwako!nilishashuhudia watu wakikwama wakiwa kwenye msitari ndugu yangu,inauma sana jinsi serikali inavyojitia upofu kutetea wananchi wake.
Dharula ni kitu cha kawaida katika maisha,ikitokea bahati mbaya umepata tatizo la ghafla,tiketi kuibadili ni bora kununua nyingine!!gharama ni za kutisha!binafsi tiketi 2 niliachana nazo,moja ilikuwa kwenda mwanza tarehe 22/5/2015 na nyingine mwaka jana mwezi 4,nilipojaribu kubadili tarehe ilikuwa ni balaa!sikuamini!
Mkuu ofisi za TCAA Consumer Consultative Council zilikuwa pale floor ya sita PPF HOUSE (makutano ya Samora Avenue na Morogoro Road) na siyo PPF TOWER (ambayo iko mtaa wa Ohio). Nadhani kwa sasa watakuwa floor ya kwanza pale Haidery Plaza maeneo ya Kisutu.Hapo SUMATRA haihusiki, ila kama mnaweza kujustify hiyo scenario, wasiliana na TCAA-CCC. Ofisi zao ziko PPF tower, hawa ndo wanahusika moja kwa moja na kumlinda mlaji wa huduma za anga. Otherwise poleni sana wakuu.
Mkuu, kabla hujawaita wezi kwanza soma terms and conditions zao uzielewe. FastJet wapo strict sana, na kwa sisi wengine tusiopenda ubabaishaji kama wa Precission Air, FastJet ndio kimbilio letu. Hapa chini ni sehemu ya terms and conditions ambazo hata kwenye ticket kuna maelezo hayo ya hicho unacholalamika. Huyo mtoto pamoja na kuwa ana miaka minne inaonyesha wazi kuwa kuna watu waliomleta pale na waliomkatia ticket, hivyo basi terms and conditions za fastjet wanazijua.
"" 7. CHECK IN AND BOARDING
7.1 The Check-in Deadline is 40 minutes prior to the scheduled time of departure. The Check-in desk will close at the Check-in Deadline and you must therefore allow ample time to ensure you can check in before this time. We will not accept you for travel and will cancel your reservation if you do not comply with the Check-in deadline or appear to be improperly documented and not ready for travel. We are not liable for loss or expenses due to your failure to comply.
7.2 You must be present at the boarding gate not later than the time specified by us when you check in.
7.3 We will cancel the space reserved for you if you fail to arrive at the boarding gate in time.
7.4 We will not be liable to you for any loss or expense incurred due to your failure to comply with the provisions of this Article.
7.5 The boarding gate, the point at which you depart for the aircraft, will close 10 minutes before the scheduled time of departure.
7.6 After this time the conditions outlined in 7.2 to 7.4 will apply.""""
Hapo SUMATRA haihusiki, ila kama mnaweza kujustify hiyo scenario, wasiliana na TCAA-CCC. Ofisi zao ziko PPF tower, hawa ndo wanahusika moja kwa moja na kumlinda mlaji wa huduma za anga. Otherwise poleni sana wakuu.
Mkuu ofisi za TCAA Consumer Consultative Council zilikuwa pale floor ya sita PPF HOUSE (makutano ya Samora Avenue na Morogoro Road) na siyo PPF TOWER (ambayo iko mtaa wa Ohio). Nadhani kwa sasa watakuwa floor ya kwanza pale Haidery Plaza maeneo ya Kisutu.
TCAA wako kitunda mkuu
kwa maana hii.....kama uko kwenye mstari unaachwa!!!! wakati international airlines ukichelewa unatafutwa na unaweza hata kutangazwa kwenye PA!
Nairobian
mkome,
muwe mnapanda hivi videge vidogo vidogo vya wazawa
hatuna ubaguzi wala nini
kama umechelewa foleni tazara,unanipigia simu nakusubiri, mpaka ufike,bei 95,500..dar`````` mwanza``````karibu
Tueleweshane mkuu apo kwenye 95,500 ni bei ya kukodi au mnakuwa na abiria wengine?Nairobian
mkome,
muwe mnapanda hivi videge vidogo vidogo vya wazawa
hatuna ubaguzi wala nini
kama umechelewa foleni tazara,unanipigia simu nakusubiri, mpaka ufike,bei 95,500..dar`````` mwanza``````karibu
Wewe ni mwongo.Haiwezekani mtu akiwa kwenye foleni akaambiwa muda umeisha.
What if check in Clerk alikuwa too slow katika kazi yake?
Hilo unalolisema halipo.As long as upo kwenye mstari, au umeikuta foleni ni lazima ucheck in.
Usitake kutufanya wote humu wajinga.