Wizi wa ccm umezidi.

Hahahaha, tena wanaiba kimoja kwanza ili akate tamaa ajivulie cha pili mwenyewe!
 
Reactions: tz1
Mtoa uzi avatar yake huwa inanipa kichefuchefu na kunifanya niichukie kabisa JF
 
teh teh teh, kwahiyo unataka kutuambia kuwa peoples power wameiba kiatu au?
 
Reactions: tz1
Mtoa uzi avatar yake huwa inanipa kichefuchefu na kunifanya niichukie kabisa JF

Siyo wewe tu, huyu jamaa sijui akili yake imekaaje? Me hata simuelewagi....ni GAMBA nini?
 
Wallet yake imepona kweli?

Kaka avetar yako inakera kweli, binafsi nimevumilia kweli lakini naona uvumilivu umenishinda, jaribu kubadilisha kama inawezekana, KICHEFU CHEFU KWLEI, AU GAMBA NAWE???/
 
Mtoa uzi avatar yake huwa inanipa kichefuchefu na kunifanya niichukie kabisa JF
Maandishi yametazama chini, tafsiri yake ni pana mno kwahiyo msimlaumu. Tafakari Chukua Hatua.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Taz

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…