Kumbe wizi wa CRDB part II ni Kimei must go
you sound like a disgraced former CRDB employee
nigeria ni uchumi namba 1 afrika lankini ina benki chache kuliko tanzania, ambayo ni uchumi namba 12 afrika. usifikiri benki zinafunguliwa tu hovyo-hovyo! you need economic education.CRDB imeshindwa hata kuvuka mipaka na kwenda kufanya biashara inakalia kuwanyonya maskini wa kitanzania. Eti CRDB ina tawi nchini Burundi, kila mtu anajua uchumi wa Burundi is very poor, wananchi wake is very poor, huko kwa maskini ndiko CRDB inafungua matawi. Mbona wasiende Kenya, Uganda, Rwanda au hata Kusini mwa Afrika? Jibu ni moja, hawajui biashara za ki-bank, wao wamekalia kukata watu fedha za wizi.
Nilitoa maada kuhusu "Wizi wa CRDB" na nimesoma reactions za wana JF. Nimepata furaha sana kwa sababu nimegundua wachangiaji wana mawazo tofauti sana. Wengine ni kejeli na wengine wanaona kama wana pesa nyingi kwahiyo hiyo shs. 700/= kwa kila withdraw sio issue. Lakini niseme kwamba mitandao kama hii ya JF ni kusaidia jamii kwa mambo mengi sana mojawapo ni kuelimisha au kukemea.
Sasa baada yaku-sample maoni ya wachangiaji, ninaleta hii hoja upya kama Wizi wa CRDB Part II.
Itabidi nirudi darasani nianze kufundisha upya tena kwa sababu ninaona watu wengine hata hawajui maana ya kusema CRDB ni wezi. Bank inakusanya deposits kutoka kwa wateja ili ifanye biashara na kufanya biashara sio kutoza charges ambazo hazina maana yo yote.
Ledger fee is okay, lakini sio kila withdraw unakatwa pesa. CRDB imeshindwa hata kuvuka mipaka na kwenda kufanya biashara inakalia kuwanyonya maskini wa kitanzania. Eti CRDB ina tawi nchini Burundi, kila mtu anajua uchumi wa Burundi is very poor, wananchi wake is very poor, huko kwa maskini ndiko CRDB inafungua matawi. Mbona wasiende Kenya, Uganda, Rwanda au hata Kusini mwa Afrika? Jibu ni moja, hawajui biashara za ki-bank, wao wamekalia kukata watu fedha za wizi.
Halafu mwisho wa mwaka wanasema wamepata faida ya billions of money, from what businesses? Kwahiyo hata nyie watetezi wa CRDB ni vizuri mjue kuwa CRDB hawafanyi biashara ya ki-bank, biashara ya ki-bank sio kuishi kwa kukata depositors so many charges, biashara ya ki-bank ni kuchukua deposits kutoka kwa wateja then unatoa mikopo, which in turn will give you interests ambayo sasa ni income yako.
Ndugu watanzania wakati ni sasa, hebu tuamke tuseme unyonyaji sasa basi. Hapa tunazungumzia CRDB lakini ninajua Mabank yote mchezo ni huu huu. Huko Kenya, ukiwa na tabia ya akina CRDB wateja wanaondoka. Hebu angalia bank za Kenya zilivyosambaa Tanzania utafikiri ni kama m-pesa, huoni KCB, Equity, CBA, NIC, nyingi tu. Nenda Kenya huoni bank yo yote ya ki-bongo. Hapa wa-TZ tutasema wakenya ni wabaguzi, sio kweli kabisa, ukweli ni kuwa bank za ki-bongo hazijui biashara za ki-bank full stop. Tuache kulia kulia kama watoto wa fisi, miaka 50 ya uhuru kilio ni kile kile.
Hao wanaosema, eti kama unaona CRDB inaiba hamisha pesa yako, wana mawazo mgando. Kwani ukiwa na mke au mume mwenye tabia inayoenda kinyume unamuacha? Basi utaoa au kuolewa kila siku. Let us fight from within. CRDB is a public bank, hakuna wa kuondoka ila tutamulika sera zao za wizi na uvivu wa kufikiri. Nao Kimei ame-overstay and he must leave. He has out-lived his ideas. Hana jipya, aondoke. "Kimei Must Go". "Kimei Must Go". "Kimei Must Go". "Kimei Must Go". "Kimei Must Go".
Haiwezekani, CRDB wanasema kila mwaka wanapata faida in billions of money kumbe ni kuwakata wateja wao charges tena za kutoa pesa kwenye ATMs. Wezi wakubwa hawa.
Natoa Hoja!

nigeria ni uchumi namba 1 afrika lankini ina benki chache kuliko tanzania, ambayo ni uchumi namba 12 afrika. usifikiri benki zinafunguliwa tu hovyo-hovyo! you need economic education.
soma List of banks in Nigeria na List of banks in Tanzania
this is another example of 'ukurupukaji'. u didn't get my point!
FYI
This would bring down the number of small banks considerably, leaving Tanzania with fewer but larger and better capitalised banks that are able to service the needs of the country.
There is precedent for this. Ten years ago, Nigeria had 89 banks, many of which were small and weakly capitalised.The Central Bank of Nigeria (CBN) raised the minimum capital requirements which led to a wave of consolidation leaving only about 40 banks.
A second wave of consolidation followed the 2009-2010 financial crisis forcing the CBN to bail out and recapitalise several poorly managed and weakly capitalised banks.
The banking sector now has 22 licensed banks and is much stronger. And financial inclusion in Nigeria today stands at about 60 per cent. There is no need to wait for a financial crisis in Tanzania to act. The time now, is just about right.
Ni vyema ukafanya utafiti wako kitaalamu kwa kulinganisha na benki nyingine ndani na nje ya nchi. Internet itakupa data za benki za nje kama hautakuwa na pesa ya kusafiri au kupiga simu ingawaje itategemea na njia ya utafiti huo!