waambie wakuonyeshe uishushe mwenyewe, hujui vili imekaribia? .Zitakuja kuloa. Au ni coins?.Habari wakuu! Nimelipia dstv tar 12/07/2016 hadi leo vodacom wananizungusha hakuna majibu ya kueleweka na huduma sijapata, nikipiga customer care naambiwa ipo hewani
Ukitaka kujua UJAMBAZI wa bila siraha unaofanywa na VODA ingia kujibu SMS za shindano lao la kamata mkwanja.....utawajuaHabari wakuu! Nimelipia dstv tar 12/07/2016 hadi leo vodacom wananizungusha hakuna majibu ya kueleweka na huduma sijapata, nikipiga customer care naambiwa ipo hewani