Mzee_londo
Member
- Dec 5, 2018
- 46
- 99
Leo asubuhi nimeshuhudia jamaa anatoka vichakani kwenye mikoko anajifanya anavuka anakwapua simu na kurudi kwenye mikoko akijifanya kama anakojoa
Simu ilikuwa mbali sikuweza kumpiga picha. Ila inasikitisha eneo nyeti Kama lile karibu kabisa na Kituo cha polisi lakini usalama ni haba
Kama jeshi la polisi wameshindwa kuimarisha ulinzi pale ni bora halmashauri ya manispaa ya Kinondoni waweke fence ijulikane moja ila ni hatari kwa wenye magari na hatari zaidi kwa watembea kwa miguu
Nawasilisha