Wizi mtupu!!......

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
61,430
Reaction score
108,589
[h=6]Wizi mtupu!

Girl: Hellow
Boy: Sweety mambo vip?
Girl: poa
Boy: Utakua free weekend hii? Nilikua nataka uje home.
Girl: Ooh Sorry, sitoweza kuja coz kuna harusi ya Aunt yangu na kesho yake kutakua na wageni nyumbani.
Boy: kama ni hivo sawa just nilikua nataka nikufanyie surprise, nimekununulia Blackberry Torch
Girl: ooh!! Usijali mpenz wangu ntakuja, hata ukitaka nilale uko uko nitalala
Boy: vipi kuhusu harusi??
Girl: harusi ipi?? Nilikua nakutani honey.
Boy: ok, na mimi pia nilikua nakutania tu.....[/h]
 
mambo kibongo bongo, fedha feki madini feki
 
I like it vichwa kama hivo vikiwa pair, mmoja akiwa mjinga hupata sana taabu...
 
Sote tunadanganyana.....Ila uwongo wa hawa viumbe huwa hatuutegemei unakuja kama suprise!
 
Cheni bandia,noti bandi
 

Bora ungebeba jina la "Ya kileo leo"
 
hii post yenyewe imeibiwa toka kwa masanja mkandamizaji huko pande za fb
 
hii post yenyewe imeibiwa toka kwa masanja mkandamizaji huko pande za fb


Utakuja kuolewa au kukandamizwa na huyo Mkandamizaji, unajuwa Masanja ameicopy wapi hii wewe bwegge? hapa watu hawashindani nani wa kwanza wala hakuna malipo yeyote hapa kupost habari, kilichopo hapa tunashre kila mtu alichonacho anashare na wenzake, utakufa na wivu wa kijinga bwegge wewe.

Unaweza kutuonesha copyright ya huyo anayekukandamiza hapa?
 
hii post yenyewe imeibiwa toka kwa masanja mkandamizaji huko pande za fb

PetCash,
Kumbe na wewe ni wa fesbuku?
Na phina yuko huko? Ngoja nim inbox au niweke picha yangu on her wall,kwi kwi kwi.
 
Last edited by a moderator:
Taratibu Matola,kha, mbona lugha kali sana?
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa siku hizi mna shida sana.......
 
Taratibu Matola,kha, mbona lugha kali sana?
Hiyo ndio lugha ambayo hata kiziwi anaweza kuisikia, huo anaoleta huyu jamaa ni ushakunaku, yeye aliambiwa ukipost kitu hapa JF unalipwa pesa? Jingas kabisa huyu.
 
kwi kwi kwi! umenichekesha sana! kha!
 
wamekutana watoto wa mjini wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…