Upo sahihi kabisa MkuuHabari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook
Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza.
Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.
Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo,
Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.
Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....
Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Mbona umeweka namba yangu hapo!?Habari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook
Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza.
Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Usije ukalipia kitu chochote mitandaoni bila wewe kukiona, kama wanafanya delivery subiri ulipie wakati unapokea na kukagua mzigo wako ujiridhishe vinginevyo ujiandae kulia.Habari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook
Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza.
Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.
Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo,
Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.
Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....
Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Kwahiyo nimeshapigwa? [emoji24][emoji24][emoji24]Habari za leo wakuu.

Aisee watu wa aina hii lazima wapigwe tu, unalipia picha ya laptop?Upo sahihi kabisa Mkuu
Yani niliwai ingia kupatana.com nilikutana na hawa jamaa Yani laptop zao ni 420000 tuu sasa ukiomba wakutumie kwanjia ya gari wanakuwa na trick Moja ya kusema sasa si Bora uje apa ofisin kwetu sasa ili uje kuakiki mzigo wako sasa ukijichanganya tuu kuwaamini Yan apo umeliwa maana wanakutumia sample ya picha ya izo laptop then ukilipia tuu izo picha wanafuta zotee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Makinikeni na bei poa.. Shortcut is the longest way you were not going ...!Habari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.
Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo, Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.
Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....
Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Kuna jamaa angu kapigwa 390kHao watu nawajua, kuna hp spectre x360 walikua wanauza kwa 450k, wakasema wapo dom jengo hilo hilo, kidg nitume hela, bt kuna ndugu yangu yupo jengo hilo hilo nikamuomba anichunguzie, ndo kunishtua kwamba kweli wapo kwenye jengo hilo, na hiyo pc ipo, ila ni 3.5mil, huyo jamaa anamfaham ni tapeli, ukimtumia hela tu imekula kwako...hiyo ndo ilikua pona yangu...
Wanauza bei ndogo....maana yakeHabari za leo wakuu.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo husika.
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea kasi kubwa sana hasa kwenye mtandao wa Facebook Kuna jamaa wanatumia trick ya kupost laptop computers wakidai wanauza. Hawa jamaa wanauza computer kwa bei ndogo sana ukilinganisha na bidhaa yenyewe, na hiyo ni kumshawishi mtu ili aingie mkenge.
Mara nyingi ukiwauliza kwamba mnapatikana wapi watakutumia namba ili muwasiliane kwa WhatsApp.
Na badae watakupa number ya kufanya malipo, Mara nyingi sana wanasema wanapatikana dodoma, Barabara ya nane,Jengo la capital city mall,Floor 1,duka All Muzamill PC solutions,Flame B6.
Number za simu wanazotumia.
0676976799
0678448681
0678376783
Tuchukue tahadhari....
Naomba kuwasilisha hoja.
Palipo na mapungufu mnisamehe
Wabongo wanapenda virahisiTamaa ndo sababu ya watu kutapeliwa