Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,143
- 2,276
Tahadhari tumepewa kuna wizi mpya umeingia mjini[emoji1370]
Habari zenu mabibi na mabwana! Polen na majukum.
Napenda niwashirikishe jambo lililo nikuta ili kukuokoa ww au mwingine.
Kuna wizi wa ajabu wa Aina fulani ya madawa ya kupoteza ufaham.
Jana nikiwa natoka kazini mida ya jioni nikapita mlimani cety.
Baada ya kufika mlimani cyte gafla nilisikia mtu akiniita Jina langu nilipogeuka nilimuona mtu akinichangamkia Sana na kuniuliza Habari za siku, ukowapi zikuhizi?
Nikawa nimepigwa namshangao mana nikimuangalia simkumbuki kabisa anae nichangamkia.
Mara yule bwana akanisogelea na kuniambia hunikumbuki tulisoma wote? Kabla sijamjibu Mara akatokea mtu mwingine kama wanafahamiana wakachangamkiana Kisha yule bwana akaanza kunitabulisha kwa huyu bwana alie tukuta pale.
Gafla yule bwana akaniambia Kuna mdudu kwenye jicho lako la kulia nilipotaka kutoa akaniambia samahani naomba nikutoe kama hutojali.
Kabla sijamruhusu akachukua kitambaa chake akanipangusa nacho kwenye jicho na puani.
Gafla nikaanza kujisikia vibaya na Baada ya hapo sijajielewa Tena mpaka nilipojikuta niko hospital Rabininsia Dar.
Nikaelezwa kuwa nimepelekwa hapo na wasamaria wakiwa wameniokota maeneo ya vikawe nikiwa cjitambui pembezoni mwa barabara.
Nilikuwa na pesa kama laki 320000 walichukua pamoja na card yang ya crdb.
Cha ajabu nilipotoka hospitali nikaenda moja kwa moja bank nikawaelezea wakaniambia nikaripoti police.
Kabla hawaja iblock Ile card waliniangalizia balance wakakuta card imetoa pesa ATM mbili Jana na Leo sh milioni 2.
Tulipofatilia kwenye ATM mojawapo ya Jana yake ikakuwa alie zitoa hizo pesa account ipo tupu.
So my Dear friend, usimruhusu mtu yeyote usiyemjua kukugusa au kukutoa kitu machoni.
Maana sI kukuibia tu Bali wanaweza kukulewesha na wakakufanye vitendo vya wakakuingilia vibaya wakakuambukiza hata magonjwa hatari.
Share na magroup mengine tuwaokoe ndugu zetu na mchezo huu mchafu.
Mungu akusaidie kutuma uwezavyo..
Kama umeshawahi kukutana na utaperi wa aina yoyote au unafahamu mbinu na njia mbalimbali wanazotumia wezi kutuibia au kututaperi tafadhali nikuombe ujueleze hapa ili iwe fundisho wa watanzania wenzako wengine aksanteni, karibuni sana.