Wizi mpya wa mtandao.

Wizi mpya wa mtandao.

Aisee hii isue ni kweli. Hata mm ilinikuta bahat nzuri nilikuwa job.
Hata mimi alinianza nikiwa kazini baradhuli hili likaniungia mpaka nivofika home.
Screenshot_20190208-105404.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yan facebook cjui napaonaje hunikut uko ata kwa bahat mbaya...pole mkuu km nakuona ulivyo unstall fb faster😀
 
Yote kwa yote kuingizwa mkenge kwa style hii ni jambo rahisi kwa watu wengi.
 
Mimi ilinitokea tofauti kidogo .

Jamaa alijifanya ni kiongozi wa freemason hivyo anataka kuniunganisha akanitumia form ya kujaza.

Kuna kipengele kinahitaji uweke nude pictures. Nikichofanya nikaenda huko kwenye mitandao nikadowload picha inayoendana na rangi Yangu ya mwili.

Nilivyomtumia akaja na hizo habari za kusema nimtumie hela ili asizisambaze picha zangu.

Nilimwambia nahitaji kuwa mtu maarufu so ukizisambaza lengo langu litatimia.

Hakurudi tena wala sijaona akizisambaza zile nude pictures.

Usawa wenyewe huu jiwe nani atume hela kizembe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inatokea sanaa hasa katika nchi za North na West Africa, kuna hadi Kiongozi wa dini alijiua baada ya picha zake za utupu leak kwenye magroup na watu wake wa karibu kuziona kwa sababu ya huu mchezo wa Facebook na hata ukiwapa hizo pesa bado watataka tena na tena hadi atakaposhindwa kuendelea kutoa na watazishare tuu kwa watu wako wa karibu. Hili ni funzo kwa members wengine humu, pia ni muda wa kumpa moyo member mwenzetu na ushauri wangu usiwape hata Euro 1 kwani hata ukiwapa watataka zaidi na zaidi na mwishoe watazi-release tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana boss,
Mimi nina maswali ..hizo video za wewe ukijichua yeye amezipata wapi au ushafanya naye video call mkifanya hayo mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ilikua hivi, Yeye alifanya video calling akiwa anajichua, akaniomba na mi nimwonyeshe dick ili aweze jichua zaidi akati mi nafanya hivyo kumbe ye alipress record, baada tu ya video calling kuisha akanitumia ile video aliyorecord na kuniambia hakuwa mwanamke bali aliniwekea video ya mwanamke. it is very tricking kwakweli na dhumuni alikua akitaka hiyo nudity yangu ili anikamate apate pesa toka kwangu.
 
Pole saana boss na aasant kwa kutuzindua kwa mara nyingine boss!!nakumbuka tulitaka kuingizwa mkenge mimi na jama zangu6 wa dola 3000$ 500/kila mmoja ilikua 2007 na hapa juzi nimeingizwa mkenge december ya 200$ duuh bala tupu ila mambo mengine huwa yanatokea maishani kama funzo so wewe usihof maisha yataendelea !
Ishu ilikua hivi, Yeye alifanya video calling akiwa anajichua, akaniomba na mi nimwonyeshe dick ili aweze jichua zaidi akati mi nafanya hivyo kumbe ye alipress record, baada tu ya video calling kuisha akanitumia ile video aliyorecord na kuniambia hakuwa mwanamke bali aliniwekea video ya mwanamke. it is very tricking kwakweli na dhumuni alikua akitaka hiyo nudity yangu ili anikamate apate pesa toka kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waziri huko Congo na yeye alishafanyiwa hivyo akaambiwe ajichue,mwishowe video ikaachiwa hewani na aka resign.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi ilinitokea tofauti kidogo .

Jamaa alijifanya ni kiongozi wa freemason hivyo anataka kuniunganisha akanitumia form ya kujaza.

Kuna kipengele kinahitaji uweke nude pictures. Nikichofanya nikaenda huko kwenye mitandao nikadowload picha inayoendana na rangi Yangu ya mwili.

Nilivyomtumia akaja na hizo habari za kusema nimtumie hela ili asizisambaze picha zangu.

Nilimwambia nahitaji kuwa mtu maarufu so ukizisambaza lengo langu litatimia.

Hakurudi tena wala sijaona akizisambaza zile nude pictures.

Usawa wenyewe huu jiwe nani atume hela kizembe hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaa, ulitisha mkuu. eti unahitaji kuwa maarufu, huyo jamaa alikoma 😀. Kama huyu mleta mada angalijua bora angekucheki kwanza ushare naye experience, kabla hajauonyesha mkuyenge wake live.🙄
 
sasa na ww nae yani unatoa uchi wako unaupiga picha kabisa wala hauogopi dhamira ya hutu wako,,,
 
Back
Top Bottom