Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Unapenda wazunguuu eeh???Habarini za jioni waungwana.
Leo nimepatikana mwenzenu. Nilikua Facebook nikapata meseji ya mdada wa kizungu. Nami bila hiyana nikaanza kuchat nae. Baada ya muda flani akafanya video calling nami nikapokea nikaona anavyojishembendua Mara akasaula nguo zote akabakiwa kama alivyo. Akaanza kunihimiza nami aone dick langu ikawa ngumu kidogo lakini kwa jinsi yeye anavyojishembendua nikaona sio mbaya nami kumuonesha nikashusha simu yangu mpaka kwenye dick na kuniuliza. Akaanza lisifia na kuniomba namba ya simu aniwasap. Nilivyomtumia tu nikaona tayari nishaunganishwa na fesbuku group. Huku admini akiwa yule mdada. Na akisema hey guys nude videos of akanitaja Jina langu coming soon! Duh kabla sijaelewaelewa naona wasap calling jibaba limekomaa ni Yale ya kinaijeria linapiga. Nivopokea ndio likaniambia mi ni mwanaume kama wewe na nipo kikazi. Video zako ukijichua naziachia kwa group sasa hivi usipotekeleza matakwa yangu. Nataka unitumie Eur 600 bila kukosa la hasha nazipost video zako.
Nilimsihi asizipost na ningeweza mfanyia muamala kwa kesho ila hakunisikia alitaka now now.
Kutahamaki halahaulaa video zangu zimezagaa kwa group aliyoitengeneza ambao wengi ni ma rafiki na ndugu zangu .
Ni aibu iliyoje niloipata wana ndugu.
Please jaribuni kushea ili isije kuwatokea nanyi wapendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
akijibu nitagiNamba za nduguzo kazipata wapi?
Anazingua group lenyewe la facebookakijibu nitagi
phala uyu na chai isiyo na kitafunwaAnazingua group lenyewe la facebook
Chai
Pole sana, sio wanaume tu had cc ke ndio 7bu niliacha kutumia fb kutumia mipicha ya ajab fbHabarini za jioni waungwana.
Leo nimepatikana mwenzenu. Nilikua Facebook nikapata meseji ya mdada wa kizungu. Nami bila hiyana nikaanza kuchat nae. Baada ya muda flani akafanya video calling nami nikapokea nikaona anavyojishembendua Mara akasaula nguo zote akabakiwa kama alivyo. Akaanza kunihimiza nami aone dick langu ikawa ngumu kidogo lakini kwa jinsi yeye anavyojishembendua nikaona sio mbaya nami kumuonesha nikashusha simu yangu mpaka kwenye dick na kuniuliza. Akaanza lisifia na kuniomba namba ya simu aniwasap. Nilivyomtumia tu nikaona tayari nishaunganishwa na fesbuku group. Huku admini akiwa yule mdada. Na akisema hey guys nude videos of akanitaja Jina langu coming soon! Duh kabla sijaelewaelewa naona wasap calling jibaba limekomaa ni Yale ya kinaijeria linapiga. Nivopokea ndio likaniambia mi ni mwanaume kama wewe na nipo kikazi. Video zako ukijichua naziachia kwa group sasa hivi usipotekeleza matakwa yangu. Nataka unitumie Eur 600 bila kukosa la hasha nazipost video zako.
Nilimsihi asizipost na ningeweza mfanyia muamala kwa kesho ila hakunisikia alitaka now now.
Kutahamaki halahaulaa video zangu zimezagaa kwa group aliyoitengeneza ambao wengi ni ma rafiki na ndugu zangu .
Ni aibu iliyoje niloipata wana ndugu.
Please jaribuni kushea ili isije kuwatokea nanyi wapendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavaa sura mbuzi yatapita tyuuKwa usawa huu hiyo euro 600 siwapi ng'oo, bora tu wasambaze hiyo clip kwani asiyejua dushelele nani?

pole kawaida tu ujana hawo wanao kucheka utasema hawana yao ya aibu, usitumie fb tena