Wizi mpya wa mtandao.

Wizi mpya wa mtandao.

Habarini za jioni waungwana.
Leo nimepatikana mwenzenu. Nilikua Facebook nikapata meseji ya mdada wa kizungu. Nami bila hiyana nikaanza kuchat nae. Baada ya muda flani akafanya video calling nami nikapokea nikaona anavyojishembendua Mara akasaula nguo zote akabakiwa kama alivyo. Akaanza kunihimiza nami aone dick langu ikawa ngumu kidogo lakini kwa jinsi yeye anavyojishembendua nikaona sio mbaya nami kumuonesha nikashusha simu yangu mpaka kwenye dick na kuniuliza. Akaanza lisifia na kuniomba namba ya simu aniwasap. Nilivyomtumia tu nikaona tayari nishaunganishwa na fesbuku group. Huku admini akiwa yule mdada. Na akisema hey guys nude videos of akanitaja Jina langu coming soon! Duh kabla sijaelewaelewa naona wasap calling jibaba limekomaa ni Yale ya kinaijeria linapiga. Nivopokea ndio likaniambia mi ni mwanaume kama wewe na nipo kikazi. Video zako ukijichua naziachia kwa group sasa hivi usipotekeleza matakwa yangu. Nataka unitumie Eur 600 bila kukosa la hasha nazipost video zako.
Nilimsihi asizipost na ningeweza mfanyia muamala kwa kesho ila hakunisikia alitaka now now.
Kutahamaki halahaulaa video zangu zimezagaa kwa group aliyoitengeneza ambao wengi ni ma rafiki na ndugu zangu .
Ni aibu iliyoje niloipata wana ndugu.
Please jaribuni kushea ili isije kuwatokea nanyi wapendwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ni chai

Lkn katika maisha yangu siwez muonyesha mtu nyeti zangu online.. Hata wangu mchumba hajawah kuona iwe kwa video call or pictures...


Akitaka aje live tukutane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh pole sana
Mimi nina maombi kwa mamia nimewaacha wakae huko as siwajui na no public posts

Muwe mnaficha list za fb friends uone mwenyewe ndio mwendo huo inasaidia kupunguza wachunguzaji.. na settings kibao kuna watu nimewablock wasione yangu kabisa ila inawaonyesha bado nina urafiki nao fb.
 
Ndio maana mm mwaka jana nimefuta acnt yangu ya FB.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mie mtu nisiye mfahamu fb huwa sina(ga) stori nyingi kuna wa filipino na habari zao biashara ya mtandao

wanaijeria na habari zao za uganga nawaangalia(ga) tu
 
Back
Top Bottom