Sawa na wewe umenisaidia asante! Kweli kazi ipo!Kama unamaanisha yule chui anaeruka unakosea Mkuu,
Ukiweka kituo cha Sinza Kijiweni muweke mtu siti ya nyuma kama vioo ni vya tinted ili akodolee macho kwenye readings kisha wewe jifanye kuangalia pembeni upande mwengine,
Huyo jamaa wa siti ya nyuma atakupa mrejesho.
Daah hao walikuchoresha. Yan inaonekana walijipanga vizuri. Sema ningekua mimi ningerudi hata kama sitapata chochote ningewachana wajue ungese wanaoufanya. Then nasepa
Mkuu kwa hali ya uchumi lazima uwe na bajet ya mafuta kwenye gar ata kama ukiweka mafuta ya buku tank linakua full hamanishi kua ukifika shele ulaze kiti umsubir mhufumu aje kudai pesaSorry Braza gari yako ni ya aina gani?
Manake akitangulia wa bodaboda akaweka ya 2,000/= ambayo ndio utakayounganishiwa (kuibiwa) wewe hapo inategemea,
Kwa yale magari yetu madogo ambayo lita 5 unazunguka jiji zima basi unaweza kuona tofauti ya mshale kwenye mafuta ya 2,000=.
Lakini kwa yale magari ambayo ukitoka magomeni mpaka posta lishakunywa lita 2 basi ni vigumu sana kugundua wizi wa mafuta ya 2,000 kwenye dashboard yako.
Oooh mkuu pole sana.. Yatupasa kuwa makiniNilifanya baada ya wiki kwakuwa kule almost miezi 5 nilikuwa naangaika na project kidogo ya [emoji536] hivyo niligeuka ghafla mwenyeji mpaka kukutana na mikasa hiyo
Gauge ya mafuta haipandi kwa kukurupuka kama bashite, unaweza mpaka ukaondoka kituoni gauge bado iko palepale mpaka mda kidgo(kutegemea na kiasi uwekacho )Ina mana dashboard ya gari haina mshale Wa kuonyesha kiasi cha mafuta kilichoingia na ww ukalinganisha na ela iliotoa kulingana na bei ya mafuta kwa Lita?
Kwa bajeti yoyote lazima uwe makini,Mkuu kwa hali ya uchumi lazima uwe na bajet ya mafuta kwenye gar ata kama ukiweka mafuta ya buku tank linakua full hamanishi kua ukifika shele ulaze kiti umsubir mhufumu aje kudai pesa
Lazima uwe makini
Gauge haipand haraka kwakua unaingia shel mshale ukiwa umelala na kwa style hyo fuel pump yako itaish maisha mafupi sanaGauge ya mafuta haipandi kwa kukurupuka kama bashite, unaweza mpaka ukaondoka kituoni gauge bado iko palepale mpaka mda kidgo(kutegemea na kiasi uwekacho )
Kuhusu sight mirror ( the correct is side mirror) hapo haiwezi kukusadia sana lakini kama una akili juu kidgo tu huwezi kuibiwa kizembe hivyo
Hii inategemeana mfukoni kumekaa vipi na Jiografia ya kituo cha Mafuta ikoje ikoje, pia muda ulio nao.Gauge haipand haraka kwakua unaingia shel mshale ukiwa umelala na kwa style hyo fuel pump yako itaish maisha mafupi sana
Fanya iv,ile taa ya mafuta imewaka ingia sheli kama mshale haujaendana na kiasi cha mafuta kitakachokua kinaingia
Duh, umechanganya madesa Mkuu,Hapo nakuelewa ila sio kusema sijui gauge haipand kama bashite
Acha kulinganisha vitu vya maana na bashite mkuu!
Hilo ndio suluhisho isiweke mafuta mshale ukiwa umelala kabisa kma brevis,mark x,harrier ukiweka mafuta ya teni haupandi kabisa.mpka uweke ya 30 elfu mana mafuta yanakua chini ya boya lakeGauge haipand haraka kwakua unaingia shel mshale ukiwa umelala na kwa style hyo fuel pump yako itaish maisha mafupi sana
Fanya iv,ile taa ya mafuta imewaka ingia sheli kama mshale haujaendana na kiasi cha mafuta kitakachokua kinaingia
Maybe uwe mgeni kwenye magar lakin kama ni upo kwenye gari/magar kwa mda uwez ibiwa ata ml100 usigundueKwa bajeti yoyote lazima uwe makini,
Nilichoeleza pale nilipo quote ni kua kuna magari ukiweka mafuta ukapunjwa utagundua kupitia mshale wa dashboard na kuna magari hutogundua kirahisi kirahisi. Soma alichoandika niliem=quote kisha soma tena majibu yangu.
Mathematically kama gari full tank ni lita 20 basi ukiibiwa lita 1 utakua umeibiwa 5% ya full tank wakati gari zingine zina mpaka full tank ya lita 80, hivyo wizi wa lita 1 ni sawa na 1.25% ya full tank. Hapa hata uchezaji wa mshale kwenye hizi scenarios mbili ni tofauti ingawa wizi ni ule ule wa lita 1.
Kweli kabisa mkuu alafu sio kwa gari ulizotaja tu gari yeyote mafuta yakishakua chini ya boya gauge haiwezi panda papo hapo lazima itulie ata sc.5 kulingana na ukubwa wa tank ndio mshale ujiguseHilo ndio suluhisho isiweke mafuta mshale ukiwa umelala kabisa kma brevis,mark x,harrier ukiweka mafuta ya teni haupandi kabisa.mpka uweke ya 30 elfu mana mafuta yanakua chini ya boya lake