Uliyepiga picha hii umetufaa sana!Haya wale wamiliki magari,mtindo mpya umeibuka!Wakati wewe ukiamini mafuta yanawekwa kwa tanki la Gari,kumbe muweka mafuta anakuziba ili usione dumu dogo ili aweze kuwa anakuibia!!Jionee kwa pichaView attachment 741655
Kwa mazingira hayo ni lazima hiyo ni petrol station za njiani siyo za mjini. Mjini watu wengi akifanya hivyo lazima aumbuke. Na wewe mwenye gari unajikuta boss kiasi gani hutaki kushuka kwenye gari kuangalia kinacho endelea. Huu utakua undezi wa kupitiliza
Shida nn mama VIPNouma saana
Sijawaelewa,
Kwa hiyo mnapingana na picha au?
Picha ndio hiyo, mnasema sio rahisi kuibiwa hivyo, kwa hiyo hapo wanafanyaje??
Mimi pia naendesha gari, ukiacha ile style ya kuunganishiwa bili (Mfano Bodaboda kanunua ya 3,000 na kakutangulia, na wewe ukaja kununua ya 10,000 basi unaunganishiwa hapo hapo bila kuanza zile readings), hii ndio style ya wizi inayofuatia.
Watanzania tumezidi ubishi aisee.
Mkuu ulipigwa mafuta au kitu kingine.? Kwa situation ya hapo kwenye picha utamlaumu nani.?Wizi mwingine chief unategemea na maizngira,Unaposema haushuki ndio pale mwenzako anaponufaika!Mie binafsi niliwahi lizwa Pale kituo cha Mafuta cha Kwa Aziz Ally miaka fulani hivi ya Nyuma!!
Sijawaelewa,
Kwa hiyo mnapingana na picha au?
Picha ndio hiyo, mnasema sio rahisi kuibiwa hivyo, kwa hiyo hapo wanafanyaje??
Mimi pia naendesha gari, ukiacha ile style ya kuunganishiwa bili (Mfano Bodaboda kanunua ya 3,000 na kakutangulia, na wewe ukaja kununua ya 10,000 basi unaunganishiwa hapo hapo bila kuanza zile readings), hii ndio style ya wizi inayofuatia.
Watanzania tumezidi ubishi aisee.
Yaani umetufumbua macho! Hawa jamaa hawafai kwa kudiriki kupiga picha ile kiufundi bila kufichua jina la kituo ni busara kubwa umetumia.Kwanini chief?
Mkuu ulipigwa mafuta au kitu kingine.? Kwa situation ya hapo kwenye picha utamlaumu nani.?
ha ha kwa kuicheki vizuri hio ni lake oil ya buguruni malapaKwa mazingira hayo ni lazima hiyo ni petrol station za njiani siyo za mjini. Mjini watu wengi akifanya hivyo lazima aumbuke. Na wewe mwenye gari unajikuta boss kiasi gani hutaki kushuka kwenye gari kuangalia kinacho endelea. Huu utakua undezi wa kupitiliza
Kama unamaanisha yule chui anaeruka unakosea Mkuu,Mafuta zaidi ya 20000 nikiweka huwa nashuka na kuzunguka kabisa kwa mpimaji.
Vituo vya Kampuni ya "JUMLA" ukiweka mafuta hutajuta. Iwe Dodoma au Bagamoyo. Kwanza mita inaenda polepole haina haraka. Ukiwasha gari tu, mshale huo umepanda na unaridhika.
Hata wale wa Kampuni ya "DUMA wa Marekani ya Kusini" sio wabaya. Kampuni ya "Uingereza Kuu na Poland" nao wazuri. Wako wengi pia wazuri ila hao wako juu.
Daah hao walikuchoresha yani inaonekana walijipanga vizuri sema ningekua mimi ningerudi hata kama sitapata chochote ningewachana wajue ungese wanaoufanya then nasepaMie sikuibiwa kwa mtindo wa Kidumu!Bali walikuja wawili,aliyeshika pampu wakati anaendelea kuweka mafuta,wawili wale mmoja dirisha la kushoto na mwingine kulia akizuga kama ananifutia kioo na stori mob ndio nilipopigwa kwa pampu kuzimwa kabla haijamaliza hela niliyotaka!Naondoka kidogo kufika Temeke mwisho nashangaa mshale haupandi,nafika Tazara uko vile vile!Buguruni gari ikazima ndio nikajua nimelizwa!!Hvyooo mkuu
Kama unamaanisha yule chui anaeruka unakosea Mkuu,
Ukiweka kituo cha Sinza Kijiweni muweke mtu siti ya nyuma kama vioo ni vya tinted ili akodolee macho kwenye readings kisha wewe jifanye kuangalia pembeni upande mwengine,
Huyo jamaa wa siti ya nyuma atakupa mrejesho.
Msimwingize ndugu pasipo penyewe. Amepiga picha kiufundi. Hakuna jina la kituo na picha haziko waziwazi kumtambua mtu ila dumu linaonekana kabisa na pump na mkao wa yule "mkora". Ametusaidia mimi sikudhani wamefikia hatua hiyo ya kudharau madereva kiasi hicho. Daah!Mie simo
Msimwingize ndugu pasipo penyewe. Amepiga picha kiufundi. Hakuna jina la kituo na picha haziko waziwazi kumtambua mtu. Ila dumu linaonekana kabisa na pump na mkao wa yule "mkora". Ametusaidia. Mimi sikudhani wamefikia hatua hiyo ya kudharau madereva kiasi hicho. Daah!
Sorry Braza gari yako ni ya aina gani?Mkuu mm namilik gar ndio tena gar langu la kwanza nlimiliki nkiwa na miaka25 tena kwa ela yangu...hua nikienda sheli hua nafungua mfuniko Wa tank na siangaiki na mhudu..mm nacheza na dashboard tu maana najua kama mafuta lita 1 ni bei hii mshale utafika hapa
Usipo fika hapatatosha kwakweli
Sasa nyie endeleen kuibiwa kishamba!