Wizi mpya umeibuka...kaa chonjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi mpya umeibuka...kaa chonjo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Jun 25, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa,

  Story ifuatayo ni ya kweli. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi na wengine wengi wameshatapeliwa kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.

  Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

  TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.
  Mimi: Nzuri
  Tapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?
  Mimi: Hapana, nani mwenzangu?
  Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.
  Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana , after all alikuwa hajasema anachotaka)

  Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!

  NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.

  Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?

  Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.

  Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.

  Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.

  Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!

  Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

  MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?
  MIMI: YES
  MZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution; we are looking for 50 pairs?
  MIMI: Yes I have sufficeint stock
  Mzungu: what is your price per pair?
  Mimi:$1700
  Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZS
  MIMI: Dollar of course, you how how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)
  Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?
  Mimi:Cash
  Mzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enough
  stock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.
  Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.

  Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.

  Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!!!!!!!!!!! (Kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).

  Basi mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo na mimi ni mtu wa 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.

  Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

  So guys thats my story
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  pole sana mkuu. Ni nchi ya misheni town hii, madeal kuanzia ikulu mpaka bungeni... Ahsante kwa kutujulisha kisanga hiki.
   
 3. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  duh! Pole mkuu!!!!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Another copy and paste.
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,467
  Likes Received: 4,126
  Trophy Points: 280
  Hii sio mpya watu walishalizwa zamani kwa mtindo huo!
   
 6. b

  bob nasta Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Duuu nazani hata ningekuwa mimi wangenipa
  pole sana
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pole mkuu!kumbuka cheap is expensive!ila hii issue ilishatokeaga last yr i thnk,nilisikia either kwenye clouds au hapa Jf au michuz blog sikumbuki exactly ni wapi niliisikia!pole mazee.
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ya long time hii kupitia barua pepe. Mkuu labda kma unataka kutapeliwa sema kuliko kujizushia habari kuwa imekutokea wakati ukijua si kweli!
   
 9. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  Hii ya matovu ni ya kama 2yrs back,
   
 10. aye

  aye JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,987
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  hii ishu ya zamani sana ilitokea kama imerudi tena ni balaa
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,422
  Likes Received: 12,692
  Trophy Points: 280
  nilikoswa kutapeliwa kipuuz kama hivyo pole sana mkuu,ila always we learn through mistakes ! ilhali hawajakukata mikono natumai utarudisha m yako pole sana na asante kwa taarifa
   
 12. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,422
  Likes Received: 12,692
  Trophy Points: 280
  nilikoswa kutapeliwa kipuuz kama hivyo pole sana mkuu,ila always we learn through mistakes ! ilhali hawajakukata mikono natumai utarudisha m yako pole,hata kama ni ya long time hawa kina papaaa mukulu si unaskia wanatapeli viwanja!!!!!!!
   
 13. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole sana kwa yalokukuta ila utapeli huu nilishasikia toka mwaka juzi walitaka kumliza mjomba wangu ila akashtuka akachomoa si unajua tena "ngashtuka machale kun ndesa"
   
 14. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 848
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hivi, si tulisajili namba za simu na maelezo yetu kibaaaaaaaaaao! Ingawa the exercise is useless, maana nina zaidi ya mwezi natumia line ya zantel bila kuisajili! This is Bongo bana! Mkuu wa Kaya Msanii, wasaidizi wasanii, wananchi hali kadhalika!
   
 15. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Kumbukumbu zangu zinaonesha ilitokea tangu 2009, na ilsambazwa sana kwenye email, no edition, its copy and paste kama ilivyokuwa imeandikwa.
  lakini asante kwa taarifa ndugu........

  [HR][/HR]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD]

  [HR][/HR]

  ""Guys dunia imekwisha!! Watch out
  Forwarded as received.

  Watch out!

  ‘’Be careful please it might land on you’’
  Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 11/11/2009. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi na wengine wengi wameshatapeliwa kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.

  Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

  TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.
  Mimi: Nzuri
  Tapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?
  Mimi: Hapana, nani mwenzangu?
  Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.
  Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana , after all alikuwa hajasema anachotaka)

  Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!

  NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.

  Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?

  Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.

  Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.

  Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.

  Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!

  Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

  MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?
  MIMI: YES
  MZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution, we are looking for 50 pairs?
  MIMI: Yes I have sufficeint stock
  Mzungu: what is your price per pair?
  Mimi:$1700
  Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZS
  MIMI: Dollar of course, you know how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)
  Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?
  Mimi:Cash
  Mzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enough stock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.
  Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.

  Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.

  Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!! !!!!!!!!! (kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).

  Basi mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo na mimi ni mtu wa 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.

  Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

  So guys thats my story for yesterday!

  Foward to everyone you know"".

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 16. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,996
  Trophy Points: 280
  "Hapa ni Mjini watu wanaishi Kimjinimjini "- JK junior (RIZ1)
   
 17. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa ubunifu!Hii kitu ni ya kama miaka mitatu iliyopita.
   
 18. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Dah dah dah! Pole sana mie niliokolewa na michuzi blog hbr hii inaandikwa sana kule michuzi blog!Walinipigia, wacha niwasanifu namba zao zoye wanazotumia ninazo bahati mbaya tu sikupata ushirikiano wa polisi kuwanasa!But tumeapa wakiingia line kwa mtu wa krb yangu awatege tuwakone tubonde wenywe kipigo cha mbwa mwizi!Na kweli cku si siku akapigiwa rafiki yangu wakaribu, amekwenda nao kila akiwambia waje town hawataki wanadai mshikaji aende sinza, tukaachana naoBut pole sana ndugu
   
 19. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  HHEHEHEHEHEHEHEHE
  HII NDIO JF BANA
  ukileta uongo watu wanakulipuwa
  lakini mimi nikushukuru kwa taarifa,na washindwe kwa jina lile
   
 20. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Shukrani kwa taarifa, itasaidia wengi hususani mimi na familia yangu ambao hatukuwa na taarifa za aina hii ya utapeli. Ahsante sana.
  Angalizo: Kama taarifa hizi zipo na kuna dalili za kutokea tena aina hii ya utapeli ni vyema vyombo vinavyohusika na usalama wa raia na mali zao wakatoa tahadhari kupitia vyombo vya habari na njia nyingine zinazofaa.
  Watu ambao tumeshapata taarifa hizi tuendelee kuwaeleza ndugu jamaa na marafiki zetu ili wasije kutapeliwa.
   
Loading...