Wizi mpya kwa njia ya mtandao waibuka tena

Kuunga account ya bank na simu ni uendawazimu

simbanking ni uchizi uliotukuka,acheni huo ujinga.

Tanzania hii bado hamna njia salama ya kutunza pesa

zako binafsi ni wewe tu uamue unatunza vipi hela zako.
 
Asante sana mkuu kwa uzi huu, ni kweli wezi wamekuwa na maarifa sana siku hizi labda ni kutokana na idadi ya graduates mtaani na ukosefu wa ajira. Hongera pia kwa kuweza kudhibiti wizi uliokuwa umekudhamiria.

Hivi juzi tu rafiki yangu wa karibu sana nae aliibiwa. Na kisa chenyewe kilikuwa hivi.

Vijana wawili walienda dukani kwake wakamuambia wanasajili line, lakini yeye hakuwa anahitaji, baada ya kuwahoji walimwambia pia anaweza kubadili line yake iwe ya chuo aweze kupata vifurushi vya chuo kwa bei nafuu.

Nafuu siku zote ina garama, akakubali wambadilishie lain moja ya tigo, ambayo kwa maelezo yake aliona haina hathari kwakuwa line hiyo haina pesa tigo pesa na huwa anaitumia mara chache sana, akasahau kwamba kupigia laini hii ndio mitandao ya bank

alijiunganayo. Akawapa line yake wakaweka kwenye simu yao wakafanya walichokifanya baada ya muda kidogo wakampa line yake kwa maelezo kwamba atapokea ujumbe wa kumwambia amejiunga rasmi na line ya chuo, jamaa wakaondokazao

Saa moja baadae skapokea ujumbe ulioonyesha kuna pesa amehamisha kutoka kwenye account yake bank nmb kwenda airtel money, account haikuwa na pesa nyingi lakini mtu chake bwana, jamaa walikuwa wamehamisha kiasi.chote cha pesa kilichokuwepo 120,000. Aliponiambia nilistuka sana nikamwambia itakuwa umewapa neno la siri au waliokuwa wamekuambia uingize neno la siri akaniambia hapana, mpaka hivi leo sijaelewa waliwezaje kuiba kutoka kwenye account ya bank.

Kibaya zaidi baada ya siku mbili atapokea ujumbe kuwa kuna million mbili zimeingia kwenye account yake ya CRDB, na baada ya muda message nyingine ikaingia kuwa million moja na nusu imetoka kutoka kwenye account hiyohiyo. Nikamuuliza kama kulikuwa salio kabla alisema hapana, nikamwamboa angalia salio akakuta hakuna kitu. Hapo nikajua jamaa waliweza kuaccess account zake zote na wangeweza kufanya chochote kwa wakati huo.

Kesho yake ilikuwa juma tatu akaanzia nmb wakamwambia itakuwa umetoa neno la siri, akawaambia hapana wao badala ya takutafuta sababu ili kulinda wateja wengine wakawa wanakomaa na sababu yao. Akawaambia mmeshindwa kulinda pesa yangu fungeni hiyo account.wakamwambia annika hatua tuifunge, akaandika palepale baada ya kumaliza wakamwambia toka 10,000 ya kufungia account akawaambia si nimeshaibiwa sasa mkiweza fungeni mkitaka kaeni nayo.

Akeanda crdb kuthibitisha ile miamala jana yake, crdb wakamwambia ni kweli miamala imefanyika ila ziliingia 2milion zikatolewa 2milion, akawauliza inawezekanaje mtu uingize na atone kwenye account yake jamaa wakawa hawana majibu, huko akablock sim banking zote na akaikana atm kadi so kuanzia sasa ameridhia yeye pesa ni mpaka dirishani. Kiukweli hatuko Salama kabisa na vihela vyetu na hii teknolojia.
Mkuu, kama maelezo haya ni sahihi basi lazima kutakuwa na mkono wa baadhi ya watumishi wa hizi banks ambao sio waaminifu waliotoa password.
 
Mnaopenda tumia smartphone ndio zaidi mpo hatarini na hizo simu zenu na vihela vyenu huko mlipoviweka,Smartphone ina Autosave Logins hii inatokea mtu uki log in hata kwenye apps zako zinazotaka password usiulizwe kila saa inafanyika auto fill.

username + password mtu anaingia kwenye account husika anafanya yake,kwenye hizo simbanking nazo nadhani kuna auto logins info zinazokuwa saved kwenye simu husika,mwizi akishika simu anaenda direct kwenye sehemu ambayo ataona info za logins za kila sehemu ana view password kiurahisi kabisa.
 
Smartphone mnazotumia zina hifadhi password nyingi sana za sehemu mnazokua mkiingia kila siku,hizo password unaweza kuziona ukitaka lakini kwakuwa wengi hawazihitaji na hawajui zilipo ndio mana wanaona simple tu kumpa mtu simu.

smartphone kama jina lake linavyojieleza ndugu zangu ni Real SMART ina info zote za simu yako tangu siku ya kwanza uinunue dukani uanze itumia,itumie kwa makini na akili nyingi,muazime mtu simu ya kawaida hizi analog phones but not SMARTPHONES la sivyo mtalia sana kwenye hii dunia.
 
Mkuu, kwa uwezo wako wa kung'amua mambo, unadhani hao matapeli waliwezaje kupata password ya simbanking ya huyo jamaa?
Ni vigumu kukisia hapa mkuu. Ila kuna njia nyingi wanaweza kutumia kupata password. Cha maana cha kuzingatia ni kuwa ni lazima kuna uzembe upande wa aliyeibiwa ambao ulisababisha wezi waipate password. Katika observation yangu kuhusu matumizi ya electronic devices nchini Tanzania nimegundua kuwa watumiaji wengi hawako makini aidha kwa kuwa wazembe kupindukia au ujinga wa kutojua matumizi sahihi na salama hivyo wanatoa mwanya kwa matapeli kuweza kujua vitu kama password. Bongo ni jambo la kawaida sana mtu kumpa simu yake kijana wa mtaani anayejitia kuwa ni mtaalam kumfanyia jambo rahisi kabisa bila kujali privacy na usalama wake. Kwa kifupi watumiaji wengi huwa wana expose password zao kwa matapeli kwa uzembe na bila kujua.
 
Asante sana mkuu kwa uzi huu, ni kweli wezi wamekuwa na maarifa sana siku hizi labda ni kutokana na idadi ya graduates mtaani na ukosefu wa ajira. Hongera pia kwa kuweza kudhibiti wizi uliokuwa umekudhamiria.

Hivi juzi tu rafiki yangu wa karibu sana nae aliibiwa. Na kisa chenyewe kilikuwa hivi.

Vijana wawili walienda dukani kwake wakamuambia wanasajili line, lakini yeye hakuwa anahitaji, baada ya kuwahoji walimwambia pia anaweza kubadili line yake iwe ya chuo aweze kupata vifurushi vya chuo kwa bei nafuu.

Nafuu siku zote ina garama, akakubali wambadilishie lain moja ya tigo, ambayo kwa maelezo yake aliona haina hathari kwakuwa line hiyo haina pesa tigo pesa na huwa anaitumia mara chache sana, akasahau kwamba kupigia laini hii ndio mitandao ya bank

alijiunganayo. Akawapa line yake wakaweka kwenye simu yao wakafanya walichokifanya baada ya muda kidogo wakampa line yake kwa maelezo kwamba atapokea ujumbe wa kumwambia amejiunga rasmi na line ya chuo, jamaa wakaondokazao

Saa moja baadae skapokea ujumbe ulioonyesha kuna pesa amehamisha kutoka kwenye account yake bank nmb kwenda airtel money, account haikuwa na pesa nyingi lakini mtu chake bwana, jamaa walikuwa wamehamisha kiasi.chote cha pesa kilichokuwepo 120,000. Aliponiambia nilistuka sana nikamwambia itakuwa umewapa neno la siri au waliokuwa wamekuambia uingize neno la siri akaniambia hapana, mpaka hivi leo sijaelewa waliwezaje kuiba kutoka kwenye account ya bank.

Kibaya zaidi baada ya siku mbili atapokea ujumbe kuwa kuna million mbili zimeingia kwenye account yake ya CRDB, na baada ya muda message nyingine ikaingia kuwa million moja na nusu imetoka kutoka kwenye account hiyohiyo. Nikamuuliza kama kulikuwa salio kabla alisema hapana, nikamwamboa angalia salio akakuta hakuna kitu. Hapo nikajua jamaa waliweza kuaccess account zake zote na wangeweza kufanya chochote kwa wakati huo.

Kesho yake ilikuwa juma tatu akaanzia nmb wakamwambia itakuwa umetoa neno la siri, akawaambia hapana wao badala ya takutafuta sababu ili kulinda wateja wengine wakawa wanakomaa na sababu yao. Akawaambia mmeshindwa kulinda pesa yangu fungeni hiyo account.wakamwambia annika hatua tuifunge, akaandika palepale baada ya kumaliza wakamwambia toka 10,000 ya kufungia account akawaambia si nimeshaibiwa sasa mkiweza fungeni mkitaka kaeni nayo.

Akeanda crdb kuthibitisha ile miamala jana yake, crdb wakamwambia ni kweli miamala imefanyika ila ziliingia 2milion zikatolewa 2milion, akawauliza inawezekanaje mtu uingize na atone kwenye account yake jamaa wakawa hawana majibu, huko akablock sim banking zote na akaikana atm kadi so kuanzia sasa ameridhia yeye pesa ni mpaka dirishani. Kiukweli hatuko Salama kabisa na vihela vyetu na hii teknolojia.
Mdogo wangu siku tatu zilizopita nilimuekea 102 mil anunue Mali.........kwa njia Kama hii kupitia line ya tigo simu banking CRDB kapigwa 45mil......
 
Back
Top Bottom