Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
Mtu alinipigia simu na nambari hii ya simu 07060714545 akaniambia alikuwa akifanya usajili mtandaoni na kwa makosa aliweka namba yangu kimakosa kwa ile website aliyokua akijisajili, anadai kwamba namba yangu ni sawa na namba yake na kwamba zimetofautiana kidogo tu hivyo anaomba password iliyoingia kwenye simu yangu ambayo mimi kwa kweli niliona imeingia ktk msg na ilikuwa ni 6310.
Alikuwa anaomba kwangu nimpe password iliyotumwa kwenye simu yangu ili apate kumaliza usajili wake. Nilimwambia anipigie simu na namba anayodai ilikuwa inafanana na yangu ili nipate kuthibitisha madai yake, aliniambia hakuwa na pesa katika line hiyo.
Nilipitia mtandaoni ili zaidi janja yake, na nikagundua kwamba alikuwa akijaribu kubadilisha neno la siri ktk simu banking yangu ili aniibie pesa.
Nilivyofungua email yangu ya yahoo nikaona msg ikionesha kuwa mimi nataka nibadili password yangu nikagundua ni udanganyifu, huyu ni hacker wa akaunti na pia 419er.
Ikawa sikumpa tena ile password iliyoingia kwenye simu yangu, ambayo angeweza kuitumia ili kubadilisha upya akaunti yangu ya benki ya simbanking / ya programu ya simu.
Tafadhali hebu tuwe makini na tuchukue tahadhari. Wadanganyifu wanagundua njia mpya kila siku.
Hii ni njia mpya ya kuwadanganya watu ...
Shiriki ili kusaidia wengine.
*Ninajali ............ pls tahadhari*
Nimeituma hii msg baada ya kuiona ina umuhimu mkubwa sana, ili kuepusha watu wasiibiwe.