jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,807
Hivi mkuu Gamba la zamani sijui Gamba jipya unasema mlii discuss hii mada zamani wakati umejiunga JF juzi hiyo zamani ni zamani ipi??Ama unataka kutuambia kuwa una profile ingine na jukwaa jingine unalotumia kujadili mambo hii??Mwanangu kudesa kubaya,ukitaka kuwa muongo tafadhali usiwe msahaulifu!!Join date 16 April, siku 2 zilizopita afu unaleta habari ya zamani??Mm nilifikiri ukivua gamba akili zinaongezeka kumbe ni zile zile??Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.
Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
Naomba nipingane na wewe.waziri mkuu hakutoa majibu yanayoridhisha juu ya fedha hizi.kuna wizi mkubwa juu ya fedha hizi na ndiyo maana maswala kama haya ni muhimu yarudiwe mara kwa mara mpaka kieleweke.na wananchi tunayo haja ya kuhoji kwani ingekuwa ni sahii CAG asinge liambia bunge fedha hizi serikali izitolee maelezo.Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.
Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
mkuu hapa JF hauna hata siku 3, uliizungumzia jukwaa gani?
maendeleo gani yatapatikana ikiwa fedha zinapotea bila maelezo ya kuridhisha..
Mkuu ulikuwepo enzi za nyenzi.com, jamboforums.com jee?..au umeibukia jamiiforums?..
Kalaga baho
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
Hayo ni mawazo yake kama mtanzania wa kawaida, wapi amesema kuwa fedha hizo zimeibiwa au kuliwa na wajanja wachache?.
Mnajua kazi ya CAG lakini au mnalalama TU..?
Naombeni tuongeleeni mambo yenye maslahi kwa taifa letu.
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.
Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
Mkuu hii report tumeshaizungumzia sana hata kabla ya kutoka ofisini kwa CAG na baadae Zuberi aliipeleka bungeni tukaizungumzia tena, na waziri mkubwa akatoa majibu mazuri tuu na wabunge wakamwelewa, naombeni tuongelee mambo mapya yenye kuleta maendeleo wakuu.
Mleta mada inaonekana siyo mfuatiliaji wa wanayojiri Tanzania.
Hayo ni mawazo yake kama mtanzania wa kawaida, wapi amesema kuwa fedha hizo zimeibiwa au kuliwa na wajanja wachache?.
Mnajua kazi ya CAG lakini au mnalalama TU..?
Naombeni tuongeleeni mambo yenye maslahi kwa taifa letu.
Mkuu hii ripoti imetoka juzi tu na wewe unasema hizi ni habari za zamani.. tukueleweje?
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.
RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI, 2010 inasema
5.9 Kukosekana kwa orodha ya waliolipwa kiasi cha Sh.48,000,270,000 kwa ajili ya kuchochea ukuaji wa uchumi
Serikali ililipa kiasi cha Sh. 48,000,270,000 katika Benki Kuu ya Tanzania kama sehemu ya mchango wake wa kuchochea ukuaji wa uchumi ili kukabiliana na msukosuko wa uchumi ulioikumba dunia. Hata hivyo, hatukupatiwa orodha ya walionufaika na fedha hizo za kufidia hasara na kulipia mikopo wala utaratibu utakaotumika kwa wafanyabiashara husika kurejesha fedha hizo pindi hali ya uchumi itakapoimarika. Kwa hali hiyo, nimeshindwa kujiridhisha kuhusu uhalali wa malipo hayo na urejeshwaji wake
utakavyokuwa. CAG L.S Utouh
Hii si EPA ya pili?
Hizi ni habari za zamani sana mkuu na tumekwisha zizungumzia na kupata ufumbuzi wake kutoka sehemu husika, leta hoja mpya na zenye mashiko achana na zilipendwa, nchi hii inahitaji mchango wako.