Wizi mkubwa hufanywa na wenye maduka ya kuuza dawa za binadamu(Phamacy)

king majuto

Member
Dec 20, 2020
39
51
Watu wa PHAMACY ni wezi wa kutupwa, nawaomba hasa wanaotumia Bima ya Afya mjihadhali wagonjwa kupunjwa dawa ukiandikiwa dozi ya dawa na doctor jitahidi I kujua kiasi cha dawa utakazoandikiwa na hiyo dawa ni dozi ya siku ngapi, ukikurupuka ukitoka pale PHAMACY kama umeandikiwa doziya siku nne na Daktari ukifika PHAMACY unapewa dozi ya siku mbili tu na kama mgonjwa wako kalazwa nesi atakuhudumia mara ya kwanza na ya pili dozi imeisha. Utatakiwa ujaze tena fomu ukapewe tena wakati huo nesi yeye hajui kitu atakuambia kalete dawa zingine kumbe dawa umepigwa PHAMACY watu wa PHAMACY mkuwenao makini sana.
 
Bongoland, nchi iliyojaa majizi ya kila aina. Sijui tukimbilie Kosovo?
 
Sekta ya afya Siku hizi imekuwa changamoto sana nchini mwetu. Imegeuka biashara per se kiasi kwamba watoa huduma wengi hawajali kama utapona ama utakufa, wao wanazingatia tu uwaingizie pesa.
 
Watu wa PHAMACY ni wezi wa kutupwa, nawaomba hasa wanaotumia Bima ya Afya mjihadhali wagonjwa kupunjwa dawa ukiandikiwa dozi ya dawa na doctor jitahidi I kujua kiasi cha dawa utakazoandikiwa na hiyo dawa ni dozi ya siku ngapi, ukikurupuka ukitoka pale PHAMACY kama umeandikiwa doziya siku nne na Daktari ukifika PHAMACY unapewa dozi ya siku mbili tu na kama mgonjwa wako kalazwa nesi atakuhudumia mara ya kwanza na ya pili dozi imeisha. Utatakiwa ujaze tena fomu ukapewe tena wakati huo nesi yeye hajui kitu atakuambia kalete dawa zingine kumbe dawa umepigwa PHAMACY watu wa PHAMACY mkuwenao makini sana.
Ujue na gram za hizo dawa sio kulaumu watu
 
Back
Top Bottom