Jaby'z
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 4,319
- 7,655
Habari wana JF...currently kuna wizi mkubwa sana huku mabibo, weekendi hii nilianika nguo zangu na viatu ile inapita nusu saa tu wadau washapita nazo, na leo best yangu kaibiwa begi lilikua na pc, atm card na 30,000.
Nilikua najiuliza kuhusu hao wanaofanya huu wizi ni wanachuo au ni kikundi fulani cha raia ambao sio wanachuo? kiukweli inaboa yan wazazi wangu wameuza mashamba waninunulie pc inisaidie kupga msuli leo hii mtu anakuja kuibeba?
asee nina hasira !