Akilimali22
Senior Member
- Jun 7, 2015
- 168
- 90
Wafanyakazi Mradi wa dart waanza utapeli. Wanauza tiketi ya mwanafunzi kwa mtu mzima na wanakukata nauli ya mtu mzima ila tiketi unapewa ya mwanafunzi. Hii inamaanisha wanaiba sh 450 kwa kila tiketi.
Mim nawaunga mkono, waibe tu, kwan hasara ya nani, mbona tushaibiwa sana tu, tiketi tu siyo ishu watu mpaka madarakani wameingia kiujanja jana tu
Nakuheshimu sanaMim nawaunga mkono, waibe tu, kwan hasara ya nani, mbona tushaibiwa sana tu, tiketi tu siyo ishu watu mpaka madarakani wameingia kiujanja jana tu
Kichwa kitakupasuka ndg yangu na hayo madude, anzisha wimbo nmwingine.Unashangaa shilingi kuzama na meli kuelea? Uliza EPA, ESCROW, meremeta, IPTL, UDA etc hao wezi vilaza achana nao
Halafu mi nashangaa unaibiwa we au dart