Wizara zipi si za kimuungano?

Wizara zipi si za kimuungano?

Acha kutudanganya bwashee
Utasemaje wizara ya uchukuzi si ya Muungano arf waziri wake ni mzanzibar?
Kuna wizara za jmt na wizara za smz,za jmt mzanzibar ruksa kuajiriwa,za smz mbara marufuku,zingatia kwamba Tanganyika ilikufa kibudu siku nyingi
 
Allen Kilewella

Rejea bandiko la Troll JF lenye orodha ya mambo ya Muungano. Soma #9 inayosema '' utumishi katika serikali ya Jamhuri ya Muungano'' haikusema mambo yanayohusu Muungano!

Pili, Wizara zote zina nembo ya '' Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'' hakuna nembo ya mambo yasiyo ya Muungano.

Tatu, kwavile zinatumia nembo ya Jamhuri ya Muungano , Wizara zote ni za Muungano.
Ndio maana kazi ya kwanza ya Mchengerwa baada ya SSH kuingia ilikuwa kuidhinisha 21% ya ajira ni za Zanzibar

21% haikusema ajira za mambo yasiyo ya Muungano, zinasema ajira za Muungano kwa maana popote nembo ya Jamhuri ya Muungano inapotumika.

Nne, na kwavile nembo za Wizara na Taasisi ni '' Jamhuri ya Muungano'', na Mzanzibar ana Passport ya Jamhuri ya Muungano, kumkatalia ajira katika jambo lenye nembo ya Muungano ni kumnyima haki kikatiba.

Vitambulisho vya (NIDA) Wazanzibar walivichangamkia kuliko Watanganyika, na wakwanza alikuwa Marehemu Maalim Seif. Wote akina Jusa, OMO, Mansour , Duni wana NIDA, majukwaani hawataki muungano.

Vitambulisho vya NIDA ni kulinda masilahi yao kama umiliki wa ardhi, ajira za watoto wao , access ya soko la watu milioni 60m masomo kwa watoto wao(HESLB) n.k. huku Tanganyika, si mapenzi ya Tanzania.

Hivi unadhani kwanini Wazanzibar walikataa Serikali 3 Bunge la Katiba ! wakamtisha JK ndani ya NEC

Hayo mambo ya Muungano ! 90% si ya Muungano!Katika mambo ya Muungano kila jambo lina mbadala Zanzibar! sasa hivi Wana jeshi lao linatoa mafunzo kama Monduli halifunzi Mtanganyika , ingia youtube

Bila Tanganyika mada hizi zitajirudia kila siku!

Pascal Mayalla JokaKuu
 
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.

Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.

Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi ni za kimuungano na zipi si za kimuungano?

Je, zile zisizo za kimuungano watu wa upande mwingine wa muungano wana haki ya kuajiriwa?
Wizara za Muungano ni 4

Mambo ya nje
Wizara ya Fedha
Wizara ya Ulinzi
Wizara ya Mambo ya Ndani.

Idadi ya watu sina uhakika kama iliwekwa, ili ilitarajiwa wale serikali ya visiwani inao wahitaji watajumuika na wale Tanganyika itawahitaji, na mchango wa nchi husika katika hazina kuu kama inafanyika hivyo ???.
 
Allen Kilewella

Rejea bandiko la Troll JF lenye orodha ya mambo ya Muungano. Soma #9 inayosema '' utumishi katika serikali ya Jamhuri ya Muungano'' haikusema mambo yanayohusu Muungano!

Pili, Wizara zote zina nembo ya '' Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'' hakuna nembo ya mambo yasiyo ya Muungano.

Tatu, kwavile zinatumia nembo ya Jamhuri ya Muungano , Wizara zote ni za Muungano.
Ndio maana kazi ya kwanza ya Mchengerwa baada ya SSH kuingia ilikuwa kuidhinisha 21% ya ajira ni za Zanzibar

21% haikusema ajira za mambo yasiyo ya Muungano, zinasema ajira za Muungano kwa maana popote nembo ya Jamhuri ya Muungano inapotumika.

Nne, na kwavile nembo za Wizara na Taasisi ni '' Jamhuri ya Muungano'', na Mzanzibar ana Passport ya Jamhuri ya Muungano, kumkatalia ajira katika jambo lenye nembo ya Muungano ni kumnyima haki kikatiba.

Vitambulisho vya (NIDA) Wazanzibar walivichangamkia kuliko Watanganyika, na wakwanza alikuwa Marehemu Maalim Seif. Wote akina Jusa, OMO, Mansour , Duni wana NIDA, majukwaani hawataki muungano.

Vitambulisho vya NIDA ni kulinda masilahi yao kama umiliki wa ardhi, ajira za watoto wao , access ya soko la watu milioni 60m masomo kwa watoto wao(HESLB) n.k. huku Tanganyika, si mapenzi ya Tanzania.

Hivi unadhani kwanini Wazanzibar walikataa Serikali 3 Bunge la Katiba ! wakamtisha JK ndani ya NEC

Hayo mambo ya Muungano ! 90% si ya Muungano!Katika mambo ya Muungano kila jambo lina mbadala Zanzibar! sasa hivi Wana jeshi lao linatoa mafunzo kama Monduli halifunzi Mtanganyika , ingia youtube

Bila Tanganyika mada hizi zitajirudia kila siku!

Pascal Mayalla JokaKuu
Hii inafikirisha sana. Ni ukweli lakini hakuna aliye tayari kuusema.
 
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.

Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.

Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi ni za kimuungano na zipi si za kimuungano?

Je, zile zisizo za kimuungano watu wa upande mwingine wa muungano wana haki ya kuajiriwa?
Soma kipengele Cha 9. Utumishi katika serikali ya jamuhuri ya Muungano. Na hakikusema utumishi kwenye serikali ya Tanganyika au T.bata. kwa minadhili hiyo mzanzibari ana haki ya kuajiriwa T. Bara
 
Kabisa... Haya ndiyo mambo ya yako ni yangu ila yangu ni yangu.
 
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.

Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.

Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi ni za kimuungano na zipi si za kimuungano?

Je, zile zisizo za kimuungano watu wa upande mwingine wa muungano wana haki ya kuajiriwa?
Wizar ya ulinzi ni moja na wizara ya mambo ya ndani nakupa hizo tuu
 
Kabisa... Haya ndiyo mambo ya yako ni yangu ila yangu ni yangu.
Hicho kipengele mliwekewa kisu shingoni.? Articl of union Aliyekuwa na nguvu nayo kubwa sana Ni Mwalom Nyerere. Sasa unavyoongea as if ZNZ ndiyo walio draft hiyo article of union na wakakulazimisheni kuvikubali...
 
Sasa unavyoongea as if ZNZ ndiyo walio draft hiyo article of union
Najua wazanzibari wengi hili mnalizusha kwa faida ya kisiasa tu. Ingawa ni kweli Mwalimu alikuwa "too ambitious" kuhusu muungano wenyewe.

Hivi unakumbuka mambo ya Muungano wa Afrika mitizamo ilivyotofautiana kati ya Kwame Nkrumah na Mwalimu?

Ni kweli Mwalimu alijipotosha kuhusu aina hii ya Muungano.
 
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.

Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.

Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi ni za kimuungano na zipi si za kimuungano?

Je, zile zisizo za kimuungano watu wa upande mwingine wa muungano wana haki ya kuajiriwa?
Ile Tamisemi ya mkwe ilijaza vichogo bapa hadi kwenye halmashauri, ukienda siku ya ijumaa pale makao yao ,utadhani upo Kibanda maiti.
 
Lazima iwe wazi ipi ni ya kimuungano na ipi ni vichogo
 
Hicho kipengele mliwekewa kisu shingoni.? Articl of union Aliyekuwa na nguvu nayo kubwa sana Ni Mwalom Nyerere. Sasa unavyoongea as if ZNZ ndiyo walio draft hiyo article of union na wakakulazimisheni kuvikubali...
Nyerere ameacha nchi moja, yenye serikali mbili.

Leo tuna nchi mbili, serikali mbili.
 
Na Zanzibar kila siku wanasema wanataka nchi yao ila wawe ndani ya Muungano na hawataki muungano wa Serikali tatu au Serikali za majimbo.
 
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.

Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.

Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi ni za kimuungano na zipi si za kimuungano?

Je, zile zisizo za kimuungano watu wa upande mwingine wa muungano wana haki ya kuajiriwa?
Holela, ooh holela......huu ulikuwa muitikio wa wimbo mmoja wa zamani wa Kenya, Uganda na Tanganyika zimeungana(EAC) ambapo unapelekwa nchi yoyote kati ya hizi kufanya kazi.
 
Na Zanzibar kila siku wanasema wanataka nchi yao ila wawe ndani ya Muungano na hawataki muungano wa Serikali tatu au Serikali za majimbo.
Wanaosema hivyo ni Zanzibar, CUF/ACT/Pemba.

Na wengi husema kinafiki kama njia ya kutafutia vyeo vya kisiasa.

Hata nje ya Muungano, hiyo inayoitwa Zanzibar haitakuwepo, kutakuwa Zanzinar Mwarabu (Pemba) na Zanzibar Mweusi (Unguja).
 
Najua wazanzibari wengi hili mnalizusha kwa faida ya kisiasa tu. Ingawa ni kweli Mwalimu alikuwa "too ambitious" kuhusu muungano wenyewe.

Hivi unakumbuka mambo ya Muungano wa Afrika mitizamo ilivyotofautiana kati ya Kwame Nkrumah na Mwalimu?

Ni kweli Mwalimu alijipotosha kuhusu aina hii ya Muungano.
Una uhakika Gani kama Mimi Mzanzibari? Mimi Niko open minded tu bro.
 
Lazima iwe wazi ipi ni ya kimuungano na ipi ni vichogo
Nikusaidie ungeuliza ni wizara zipi za muungano badala ya wizara zipi si za muungano, kwa sasa hakuna wizara ambayo sio ya muungano ndio maana katibu tawala wa wilaya huku bara utakuta ni wa visiwani, DC ni wa visiwani, mamlaka mbalimbali ni mchanganyiko, kila eneo kuna mchanganyiko ndio maana nieandika kuwa labda ungeuliza wizara zipi za muungano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom