Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,137
- 48,364
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano.
Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na mambo ya muungano na yasiyo ya Muungano.
Jee kuna maelezo mahali ya kisheria kuonesha ni wizara zipi ni za kimuungano na zipi si za kimuungano?
Je, zile zisizo za kimuungano watu wa upande mwingine wa muungano wana haki ya kuajiriwa?