Wizara za Afya, elimu, Nishati, Ardhi zilikuwa karibu na IFM, kulikuwa na madhara?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,793
Kuna watu wafitini wanaozusha kuwa wizara kuhamia kwenye maeneo 'yanayozunguka' UDOM kutaleta madhara kwa chuo hicho.
Kabla ya hapo wizara hizi zilikuwa zinakizunguka chuo cha IFM mbona sikuona madhara?
 
we kweli hewa wizara zinatumia majengo ya udom na sio wizara zinazunguka udom
 
Wizara zinatumia majengo ya chuo hicho,na si kama ulivyosema kwa IFM kuzungukwa na hizo wizara.inatakiwa uelewe tofaut hyo mkuu
 
Back
Top Bottom